SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

Kufa lazima afe tu...kumbuka hio movie ma star wote wanakufaga tu. Halafu kapitia mengi yule jamaaa
Sema tu jon snow ndo mrithi halali wa ufalme wa 7 kingdoms sio tena daenerys.
Halafu wale jamaa (waandaaji) walivyo washenzi wanaweza wakawaua wote Jon na Daenerys mrithi wa 7 kingdoms akawa mwingine kabisaaaaaaa.
Mfano yule Gendry mtoto wa Nje wa Robert Barathion
 
Nimesikia Bran ndo Night king sijui kama ni kweli
Hapana...ni tofauti kabisa. Bran ni three eyed Raven. Night King alitengenezwa na children of the forest kama unakumbuka vizuri season 5 au 6 nadhani walionyesha
Angalia hapa
 
Halafu wale jamaa (waandaaji) walivyo washenzi wanaweza wakawaua wote Jon na Daenerys mrithi wa 7 kingdoms akawa mwingine kabisaaaaaaa.
Mfano yule Gendry mtoto wa Nje wa Robert Barathion
Inabd roho ya chuma kuangalia episode ijayo....washatuandaa kisaikolojia na hii episode ya pili
 
Hii ndo tofauti iliyokuwepo kati Got na series nyengine zote. Mpaka sasa hatujui nani atawin thrones, hatujui nani atakufa. Tunabakia kudiscuss tu lakini hatna uhakika maana ina kila mtu anachukua character yake.
 
Halafu wale jamaa (waandaaji) walivyo washenzi wanaweza wakawaua wote Jon na Daenerys mrithi wa 7 kingdoms akawa mwingine kabisaaaaaaa.
Mfano yule Gendry mtoto wa Nje wa Robert Barathion
GoT ina historia ya suprises ngumu kumeza, Yule Night King naona in the end anashinda na kukalia kiti bcuz ni nae ni Targaryen anaride Dragon lake, haungui na moto, ana uwezo wa kuua dragons, kubadili walio hai na kuamsha chochote kilichokufa. Au basi Jon Snow nae atapata powers za Night king amalize kazi za baba zake.

Wengi watakufa wachache watakaobaki watamalizwa pole pole na mazombie yale.

Twende kaziiii
 
Kinachoumiza mpaka sasa hatujui varys alifikaje kwenye cheo cha small councel meating.

Mkuu wewe ni mfuatiliaji mzuri.
Hapa pia upo sahihi.
Sasa nisaidie na hili.... baada ya castle black war... 2 giants died . John snow asked king Stanis to burn the bodies bcoz he knew the effect of not doing so .
Pia the third Giant died at winterfell kwenye the battle of the bastards . John asingeacha kuchoma zile maiti. Now at the end of season 7 you see the Night King with 3 giants !!!!! Aliwatoa wapi.??
 
GoT ina historia ya suprises ngumu kumeza, Yule Night King naona in the end anashinda na kukalia kiti bcuz ni nae ni Targaryen anaride Dragon lake, haungui na moto, ana uwezo wa kuua dragons, kubadili walio hai na kuamsha chochote kilichokufa. Au basi Jon Snow nae atapata powers za Night king amalize kazi za baba zake.

Wengi watakufa wachache watakaobaki watamalizwa pole pole na mazombie yale.

Twende kaziiii
Kinachowatesa hawajui ni weapon gani inamuua yule jamaa...Bran ashawaambia hamna alojarib Kwa Valyrian steel au dragon stone
 
Back
Top Bottom