SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

Ukinambia inahusu nini nashindwa kukuelewa lakini kiufuli game of thrones inahusu kila kitu.
Inahusu uongozi
Inahusu visasi
Inahusu madeni
Inahusu mapenzi
Inahusu historia
Inahusu ukweli
Inahusu utajiri
Inahusu jeshi
Inahusu mbinu
Inahusu uongo
Inahusu ujasiri
Inahusu utii
Inahusu mipango ya muda mrefu n.k
Kwenye ukweli hapo sikubaliani na wewe

God save us
 
Mkuu umesema ya kawaida kumbe hata hujawai kuitazama... Unautofauti gani na yule jamaa mfupi asiyependa kuitwa dhaifu?
mkuu nimeicheck kidogo nikawa sielewi elewi nikaja huku nipate muongozo ili mzuka wa kuicheck vizuri upande
 
Hakuna mtu alie kuwa mkweli series zote

God save us
Niambie jon amedanganya wapi? Wakati yupo night watch na sheria ya night watch hairuhusiwi kulala na mwanamke. jon angeweza kuongea uongo mbele ya viongozi wake lakini still aliongea ukweli kua alilala nae, wakati wanathibitisha uwepo wa night king jon angeweza kumdanganya cersie ili wapewe jeshi lakini aliongea ukweli kwa cersie kua ameshe neel mpaka inafika hatua tyrion anamueleza kua tatizo lako huwezi kudanganya hata kidogo. Na theon anathibitisha the same thing kwamba you could have lied to cersie. Any way kwanza umeshaiangalia?
 
[emoji23][emoji23]
FB_IMG_15554031855237424.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uvumilivu unanshinda mkuu. Emagine me nna group watu wanatuma vipicha picha tu. Mara inatumwa picha jon yupo na arya, ukikaa kidogo inatuma jon anazunguka mitaa na dragon, baada ya daika 5 inatumwa bran amekutana na sir jay me
Mkuu kama uielewi nitafute nikupe uondo mana unakosa vitu vingi vizur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujinga mtupu, tamaduni za kijinga kabisa hiyo series

Wanaonyesha hadi ushoga

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila wanatoa solution kwenye episode Fulani cersi anawalipua wote na ushoga unaisha

Wanaigiza vitu vilivyopo . kwani ushoga haupo? Hata humu mashoga wapo .Ila wanatoa solution na kuonyesha ushoga ni mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom