SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

Poa Mkuu Ubarikiwe sana Nmeanza Kushusha Season 1 so possibly by hyo siku jamaa akifika ntakua nna season 3 au 4 tayar.
Kama link umepata yenye zote nirahisi Sana and it isn't expensive at all...... Hasa Kama unatumia voda au tiGO, Nunua kifurushi Cha night pack 4gb @ 1.5k tshs, unapolala unazi unpause asubuhi unakuta mzigo wako tayari.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
it's an addictive series... The more u watch.. The more ur addicted to it

Mara ya kwanza nili iona ya kawaida tu.. The second time nikaanza kui elewa.. Third time nika ielewa zaid mpka majina ya Character wake.. Nao nime iangalia sijui mara 12 na ngap sijui.... Leo tu nime tizaman S08Ep1 mara tano..

I think i need help
Mkuu nadhani kwenye hili kundi tupo wengi.

Yani hii series haichoshi kuangalia,tangu season 7 iishe nimerudia kuangalia season 1-7 mara zaidi ya 10 leo tena nimeangalia hii episode 01 ya season 8 Mara ya nne na bado hamu haijaisha.

Sijapata ona series Kama hii asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukinambia inahusu nini nashindwa kukuelewa lakini kiufuli game of thrones inahusu kila kitu.
Inahusu uongozi
Inahusu visasi
Inahusu madeni
Inahusu mapenzi
Inahusu historia
Inahusu ukweli
Inahusu utajiri
Inahusu jeshi
Inahusu mbinu
Inahusu uongo
Inahusu ujasiri
Inahusu utii
Inahusu mipango ya muda mrefu n.k
 
Kuna wiki unakua boring. Yaani wiki inaanza vibaya. Nikijihisi iko vibaya tu basi nkitoka job naweka huu mzigo. Nimeshakua eddicted kwakweli
 
Ukinambia inahusu nini nashindwa kukuelewa lakini kiufuli game of thrones inahusu kila kitu.
Inahusu uongozi
Inahusu visasi
Inahusu madeni
Inahusu mapenzi
Inahusu historia
Inahusu ukweli
Inahusu utajiri
Inahusu jeshi
Inahusu mbinu
Inahusu uongo
Inahusu ujasiri
Inahusu utii
Inahusu mipango ya muda mrefu n.k
Bila kusahau 'uovu'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
it's an addictive series... The more u watch.. The more ur addicted to it

Mara ya kwanza nili iona ya kawaida tu.. The second time nikaanza kui elewa.. Third time nika ielewa zaid mpka majina ya Character wake.. Nao nime iangalia sijui mara 12 na ngap sijui.... Leo tu nime tizaman S08Ep1 mara tano..

I think i need help
Ukianza na S01E01 usipokuwa mvumilivu unaacha kuangalia. Ukivumilia mpka E02 happy ndio ugonjwa unaanzia wa kutoacha kuangalia. Mi nasubiri zifike episode zote ndio niiangalie. Maana kuona nusu nusu ugwadu utaniua

God save us
 
Uvumilivu unanshinda mkuu. Emagine me nna group watu wanatuma vipicha picha tu. Mara inatumwa picha jon yupo na arya, ukikaa kidogo inatuma jon anazunguka mitaa na dragon, baada ya daika 5 inatumwa bran amekutana na sir jay me
 
Back
Top Bottom