shatisuruali
JF-Expert Member
- Jul 28, 2016
- 966
- 3,050
Season 1 mpaka ya 6 download hapa
GOT
Hiyo no direct link aidha itaplay au itadownload depending na browser yako. Ni hd afu size ndogo. Unaweza kucopy link na kupaste kwenye download manager yoyote zitadownload.
Hutajutia hii series mi nimeanza kuiangalia mwezi Wa Tatu, juzi nimemaliza season 7 nilifvyo na kismart ya8 ikawa inatoka yerewii!!
Katika series iliyokua ngumu kwangu kuianza ni hii lakini mpaka sasa sijajutia. Halafu angalia vitu vizuri ambavyo dunia nzima inaangalia kama hii kitu.