the great wizard
JF-Expert Member
- Dec 21, 2015
- 1,482
- 894
Namkubali sana jamaa anaitwa sandor clegane the houndMashujaa wote wako north. North kutamu sana
Namkubali sana jamaa anaitwa sandor clegane the houndMashujaa wote wako north. North kutamu sana
Yeah. Halafu jamaa anaenda kukutana na arya, huku sir jaime anaenda kukutana na bran. Emagine tyrion anakutana na sansa.Namkubali sana jamaa anaitwa sandor clegane the hound
hio ntaitafuta lazimaAngalieni min series inaitwa the long road home ni Shida.ipo season 1 tu ina episode 8 tu.
Kwa HBO huna haja ya kusubiri... Utaiona kwa wakati.Wakui hivi kesho nikitaka kuitiza game of thrones HBO ambayo inapatikana kwenye dstv ya kibongo wataionesha? Au nivumilie tu nije kukutana nayo kwenye pirates sites
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa HBO huna haja ya kusubiri... Utaiona kwa wakati.
Sijajua itakuwa saa ngapi.....
Nahisi jumapili ya pasaka ndio watatoa sababu leo wametoa episode 00 na ni kama rejea ya matukio yaliyoptaSijajua itakuwa saa ngapi.....
Kutokana na utofauti wa masaa ya kutosha baina ya tz na usa subiri hadi jumatatu. Wazoefu wa mapambano ya boxer wanalifahamu hili.