SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

Mazee nakubali sana sababu zako. Ila mimi nikitaka habari za makabila nasoma Thucydides, Plutarch, Herodotus, Tacitus na wengine kama hao.

Kuhusu mazingira ni kweli, GOT wametumia hela nyingi sana kwa hiyo siwezi kushangaa. Siwi impressed na show inayotumiahela nyingi sana kutengeneza mazingira mazuri, nakuwa impressed na cinematography inayotumia budget ndogokutengeneza kitu cha kusisimua.

Kukosa kujua kitakachokuja hilo ni jambo subjective, linategemea mtu.

Story ikiwa na characters kibao, plots kibao na subplots kibaokwangu inaboa.

Characters na character development katika show yenye a zoo of characters inaboa.

Zaidi, nikishaanza kuonaam dragon tu naona hadithi za kitoto.

Lakini kama unapendelea poa. To each his own. Hatuwezi wote kupenda kimoja.
Its your taste men.

"the highest risk should give maximum profit"
 
achana na hizo za kifalme na kichawi

naomba mnitajie za kijasusi/kipelelezi au zenye mkono wa maana hapa

zisizo na chembe ya supernatural powers.
NB nimesha tizama zifuatazo.
24
prison break
blindspot


tafadhalini naomba majina ya series za aina hiyo
Tafuta
The Blacklist utakutana na kichwa kimoja kinaitwa Raymond Reddington na nyokaa wake Dembee utanishukuru badae
Pia check na designated survivor kuna Bauer na Nikita humo wanawakilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubaya wa game of thrones ni no one is safe.alivyokufa yule king tena kwa kukatwa kichwa ilinisikitisha kwa sababu nilimuona ni strong character sio wa kufa mapema
Mfalme gani alikufa kwa kukatwa kichwa!!?

Yule ni mkuu tu wa ukoo....najua unamzungumzia Edd Stark,
Lord of Stark family from north.

Anyway...ndo maana ukaitwa mchezo wa vyeo,
 
Kings Landing is ours[emoji123]
f73743d4cc4089cebd75d8a0023ee7a0.jpg
 
achana na hizo za kifalme na kichawi

naomba mnitajie za kijasusi/kipelelezi au zenye mkono wa maana hapa

zisizo na chembe ya supernatural powers.
NB nimesha tizama zifuatazo.
24
prison break
blindspot


tafadhalini naomba majina ya series za aina hiyo
upo shallow kwenye movies, free masons wameficha mambo mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi Sansa na Jon Snow wata kwich.. kwich.. maana sio kwa jicho lile,,,,
 
Back
Top Bottom