SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

achana na hizo za kifalme na kichawi

naomba mnitajie za kijasusi/kipelelezi au zenye mkono wa maana hapa

zisizo na chembe ya supernatural powers.
NB nimesha tizama zifuatazo.
24
prison break
blindspot

tafadhalini naomba majina ya series za aina hiyo
sio mbaya kama unavyofikria.mimi mwenyewe mpenzi wa kijasusi.kuna mtu aliniambia niangalie nikamwambia Mimi sipendi mambo ya queen sijui king. Ila nikasema ngoja niangalie.i wasn't dissapointed. Sio mbaya and I can't wait
 
Game of thrones inavutia sana esp plots nk

"the highest risk should give maximum profit"
 
hapana mkuu sijawahi chagua series mimi naangalia series zote nzuri.... kasoro za kihindi na kibongo ndo siwezi angalia
nikikuonyesha list ya series nilizoona utashangaa

sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
Series za kibongo yataka moyo,afadhali ya series za kihindi japo nao huwa wanazingua kadri siku zinavyo kwenda.

"the highest risk should give maximum profit"
 
  • Thanks
Reactions: PNC
13e4e2c10a1993c33c212e8a09586d10.jpg

a5c7454b40ee70022f070958ee76107d.jpg

Sent from my SM-J120H using JamiiForums mobile app
 
Kuna series moja inaitwa fauda jamani ni nzuri.ila tatizo ni subtitle usome. Maana humo lugha inayotumika ni Hebrew na kiarabu .mambo ya terrorist.ya kijasusi. Niliiangalia siku 4 tu season yote ya kwanza
 
"I am going to seven kingdom to take what is mine" and i know John snow is my brother
 
Nishaeleza hapo juu kwamba hadithi za ma dragon sio zangu, labda wewe ndiye unayetakiwa kutuliza akili kusoma.

Show haina uhalisia, ni kama hadithi ya watoto.

Sasa wengine ndicho wanachopenda na mimi ndicho naona gozigozi.
ukiona kitabu haukielewi hakikuandikwa kwa ajili yako,maishani mwangu hakunaga series naielewa kama GoT,unavoiponda najihisi hadi nakuchukia aisee,unanifanya niwe kituko eti!
 
ukiona kitabu haukielewi hakikuandikwa kwa ajili yako,maishani mwangu hakunaga series naielewa kama GoT,unavoiponda najihisi hadi nakuchukia aisee,unanifanya niwe kituko eti!
Sio suala la kuelewa.

Mimi nasoma quantum physics na kuelewa zoo of particles pamoja na formulaes za Roger Penrose na Paul Dirac, unawajua hao watu?

Ni suala la interest tu.

Nikishaona ma dragon na mambo ya fantasy, kwangu ni kama hadithi nilizoziacha wakati nasikiliza kipindi cha "Mama na Mwana".

Ushanielewa?

Mbona mimi sijakushikia bango usome na uelewe "The Road To Reality : A Complete Guide To The Laws of The Universe" cha Roger Penrose?

Mi nikitaka kupumzika huwa nasoma vitabu kama hicho.

tumblr_mddv763fqb1rnwgypo1_r1_500.jpg
 
Me niliangalia season 1,2 na 3 kidogo lakini mpaka hapo sijajua staring nani embu tuanzie hapo kwanza mnieleshe maana dude naona kama zuri ila silielewi!!

Sent from my PHANTOM5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom