SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

The Americans kwa sasa figisu ya Trump na Russians lazima ionekane kama evening news ya kweli hivi.
Since the end of WW2 US and Russia has been in a cold war na hiyo vita bado inaendelea na haitaisha kamwe

Sent from my GT-I8190 using JamiiForums mobile app
 
achana na hizo za kifalme na kichawi

naomba mnitajie za kijasusi/kipelelezi au zenye mkono wa maana hapa

zisizo na chembe ya supernatural powers.
NB nimesha tizama zifuatazo.
24
prison break
blindspot

tafadhalini naomba majina ya series za aina hiyo
Anzisha uzi wa hizo tutakuja kuchangia....humu ni wale wa Game of throne chief
 
Sijawahi kuelewa Game of Thrones ina utamu gani.

Nimemnunulia Bi. Zahra Bluray zote. Mwanzo nilianza kuangalia naye. Baadaye ikanishinda. Just too many characters, plots, subplots, intrigues etc.

And WTF is up with "Winter is Coming" ? How blaze is that for a catchphrase? Is there ever a time when winter is not coming?

I think there is a yearning for a medieval/ ancient European story (which is totally fine if done in a comprehensive way, I enjoy period pieces from "Rome" to "King Arthur: Legend of The Sword", more so the former than the later). But the freaking twisted fantasy that seems to be a little more than just a vehicle for gore and nudity escapes the more highbrow elements in me.

Moreover, the more fantasy is in a show, the more childish it is to me.

What makes "Games of Throne" so appealing, other than just following a popular show, can anyone tell me?

Maybe I am missing something.

Or is this totally a case of "beauty is in the eye of the beholder" and an insanely marketing circus featuring nudity, gore, an incomprehensibly multitude of plots and subplots, midgets and "winter is coming" will always remain irresistible to some?

Sent from my Kimulimuli
Tuliza akili na mihemko utaielewa.....usipoielewa na kuona uzuri wake ni kawaida pia sio lazima wote tufanane.
 
huwezi kuielewa sababu hutaki kuipa nafasi kuielewa

kama ulimnunulia Bi.Zahra maana yake ulianza kuangalia nae kwa ushawishi wake na haukuamua kuangalia ndio maana uliacha mara moja
too weak argument, and stop judging too much if you want to enjoy the Movies traditional

as you say this is from your self perspectives

sio kweli kwa upande wangu , I started watching GoT since 2011 0r 2012 if not mistaken.

ndio unamiss vitu vingi vizuri, mimi nmejifunza mambo mengi tu kupitia series hii

uandaaji na utengenezaji wa GoT ni uleule na unafanana na uandaaji wa filamu nyingine maarufu za Hollywood kwenye nudity na aina ya utamaduni wao wa kuandaa muvi
Well said chief,
Mm pia GoT mwanzo sikuielewa ila nlitokea kuipenda themes yake na characters wake kujua kuvaa uhusika,

Pia ina visa vingi vizuri ambavyo navifananisha na kwenye hadithi nilizosimuliwa na mababu/mabibi zangu enzi hizo, na hata baadhi ya novels nlizopata kusoma.

Mfn: maisha ya Arya Stark.......nmrjifunza mengi kuptia part yake.
 
Tuliza akili na mihemko utaielewa.....usipoielewa na kuona uzuri wake ni kawaida pia sio lazima wote tufanane.
Nishaeleza hapo juu kwamba hadithi za ma dragon sio zangu, labda wewe ndiye unayetakiwa kutuliza akili kusoma.

Show haina uhalisia, ni kama hadithi ya watoto.

Sasa wengine ndicho wanachopenda na mimi ndicho naona gozigozi.
 
Sawa boss.....tuachie ss wa hizi hadith za watt.
 
Sawa boss.....tuachie ss wa hizi hadith za watt.
Nilishawaachia, ila mmezileta hapa mbele ya macho yangu ni wajibu kujieleza.

Akijamwingine ambaye anaiona show hiimichosho ajue kwamba hayukopeke yake.

Sasa endeleeni na show yenu ya kitoto.

Asante na kwa heri.
 
Nishaeleza hapo juu kwamba hadithi za ma dragon sio zangu, labda wewe ndiye unayetakiwa kutuliza akili kusoma.

Show haina uhalisia, ni kama hadithi ya watoto.

Sasa wengine ndicho wanachopenda na mimi ndicho naona gozigozi.
mbona mkuu unataka kulazimisha watu wapende unachotaka wewe [emoji2] [emoji2] kama hupendi wewe endelea na hizo unazopenda wengine tunaangalia series zoteee

sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
 
Nilishawaachia, ila mmezileta hapa mbele ya macho yangu ni wajibu kujieleza.

Akijamwingine ambaye anaiona show hiimichosho ajue kwamba hayukopeke yake.

Sasa endeleeni na show yenu ya kitoto.

Asante na kwa heri.
Karibu tena
 
achana na hizo za kifalme na kichawi

naomba mnitajie za kijasusi/kipelelezi au zenye mkono wa maana hapa

zisizo na chembe ya supernatural powers.
NB nimesha tizama zifuatazo.
24
prison break
blindspot

tafadhalini naomba majina ya series za aina hiyo
Unaakili karibu ungenifikia,,bado kidogo tu ungenifikia,,series watu wasiotumia akili inayofikika inanipotezea muda
 
mbona mkuu unataka kulazimisha watu wapende unachotaka wewe [emoji2] [emoji2] kama hupendi wewe endelea na hizo unazopenda wengine tunaangalia series zoteee

sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
Wapi nimelazimisha?

Nimekuja kwakona kukukataza usiangalie show unayotaka?

Mbona unakuwa na mawazo dhaifu ya kuona mtu akiponda unachopenda wewe unamuona analazimisha usipende?

Mbona mimisijasemamnanilazimisha kuangalia Game of Thrones?

Mtu anawezaje kumlazimisha mwingine kuangalia show hapa? Are you that much of a weakling kwamba mtu anaweza kukulazimisha usiangalie show kwa kuichana mtandaoni?
 
Karibu tena
Mwenzako anaendelea kunihoji kwa hiyo inaelekea nipo sana hapa bado.

Huwa sina utamaduni wa kuacha hojaji ikielea elea tu bila kujibiwa.

Hilary Mantel kamaliza residency yake BBC Reith Lectures 2017.

Nilikuwa namsikiliza anaulizwa maswali na watu wanaopenda creative writing.

Moja ya vitu alivyokandia ni hizi habari za hadithi yenye characters mia moja na plots mia mbili na subplots 1000.

But I don't expect you to know her, so, I don't expect you to care about that.
 
Back
Top Bottom