SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

hebu angalia tips zifuatazo
1) Arya stark amerudia kwa kishindo na maujanja yote, atachukua hatua gani atakapokuatana na sansa?
2) kuna trailar imeonesha arya anaongea na jon snow, je snow nae atamfanya nini sansa kwa taarifa atakazopewa na arya juu ya kifo cha stark

Hapa sijakuelewa kabisa kwani Sansa si Mtoto wa Ned Stark au umefananisha na Cercei Lannister
 
ndio sasa ni mtoto wa stark, lakini wakati baba ake ananyongwa alipokua ananyongwa alikuwepo, hata kama hakua na nguvu but reaction aliyoonesha ni ndogo sana. Halafu pia sansa alikua tayari kuendelea na jofrey licha ya kua jofrey aliamua kifo cha baba wa sansa. Umemuona arya alivoreact juu ya kile kifo?
 
Hii ni sababu dhaifu sana ya kumuusisha Sansa na Kifo cha baba yake.

Kama unakumbuka Sansa alibaki peke yake pale Kings Landing na kama unavyojua tayari alishachumbiwa na Joffrey tokea wakiwa wadogo kutokana na urafiki wa Ned na King Baratheone, pia walikuwa wanamsakama kama Mtoto wa traitor so alikuwa ana jinsi lazima ilikuwa ajifanye hana uchungu ingawa muda wote alikuwa anahuzunika sana rohoni

Pia hata mama yake alimteka Jaime Lannister ili wakafanye exchange na Sansa na hiyo kazi alipewa yule dada Brahan of tah
ndio sasa ni mtoto wa stark, lakini wakati baba ake ananyongwa alipokua ananyongwa alikuwepo, hata kama hakua na nguvu but reaction aliyoonesha ni ndogo sana. Halafu pia sansa alikua tayari kuendelea na jofrey licha ya kua jofrey aliamua kifo cha baba wa sansa. Umemuona arya alivoreact juu ya kile kifo?
Hii ni sababu dhaifu sana ya kumuusisha Sansa na Kifo cha baba yake.

Kama unakumbuka Sansa alibaki peke yake pale Kings Landing na kama unavyojua tayari alishachumbiwa na Joffrey tokea wakiwa wadogo kutokana na urafiki wa Ned na King Baratheone, pia walikuwa wanamsakama kama Mtoto wa traitor so alikuwa ana jinsi lazima ilikuwa ajifanye hana uchungu ingawa muda wote alikuwa anahuzunika sana rohoni

Pia hata mama yake alimteka Jaime Lannister ili wakafanye exchange na Sansa na hiyo kazi alipewa yule dada Brienne of Tarth

Kingine Joffrey alikuwa katili sana ilibidi afanye vile kujiokoa
 
ndio sasa ni mtoto wa stark, lakini wakati baba ake ananyongwa alipokua ananyongwa alikuwepo, hata kama hakua na nguvu but reaction aliyoonesha ni ndogo sana. Halafu pia sansa alikua tayari kuendelea na jofrey licha ya kua jofrey aliamua kifo cha baba wa sansa. Umemuona arya alivoreact juu ya kile kifo?
Kingine inatakiwa ujue Sansa ndio yupo first row to the Crown pale Winterfell ndio maana hata Snow mwenyewe alikuwa anamtaka yeye ndio awe Crown Queen

Ili ndio kosa ambalo Stark family wanalifanya for thousand years wanaamini sana watu hata Ned Stark alifanya kosa ilo ilo...

Jon Snow sio Stark ni Targerian coz ni Mtoto wa dada yake Ned aliyezaa na Mad King....kwa mjomba hakuna urithi
 
5RSlm58iYpKl.jpg
4_KhalDrogoVMago.png
757489_1309096562511_full.png
ep48-ss07-1920.jpg
gallery-1466523264-gallery-1466418651-game-of-thrones-season-6-episode-9-7.jpg
game_of_thrones20.jpg
game-of-thrones-fight-scenes.jpg
got-fight_612x380_1.jpg
house-of-starks-5-easter-eggs-and-deja-vu-moments-in-this-week-s-game-of-thrones-1026790.jpg
hqdefault.jpg
landscape-1466509491-got609-100515-hs-dsc3930.jpg
 
Dah umenitamanisha ngoja hii season 6 nirudie kuichek. Movie za Hollywood ni uongo wa ukweli lakini Bongo movie ni uongo wa uongo.
 
Nasikitika sijatulia kuicheki Season 6..........hii series ni balaa........moja kati ya series nikiziangalia sitakagi usumbufu........nyingine ni HOMELAND.
 
hakuna nyingine kama game of thrones,napenda kila kitu kuhusu khaleesi,mother of dragons.
 
Salamu!

Kwa wale wapenzi wa series ya game of thrones, season 7 inatoka mwezi huu tarehe 16.

Karibuni wenye link mbali mbali za kupakua hii series na watakao pakua msisite kushea humu.

"the highest risk should give maximum profit"
 
achana na hizo za kifalme na kichawi

naomba mnitajie za kijasusi/kipelelezi au zenye mkono wa maana hapa

zisizo na chembe ya supernatural powers.
NB nimesha tizama zifuatazo.
24
prison break
blindspot

tafadhalini naomba majina ya series za aina hiyo
 
Back
Top Bottom