South Africa msije Sio kuzuri

South Africa msije Sio kuzuri

Tukija
Ni Siku nyingi Sana sijakuja hapa kuleta mrejesho,
Ndugu zangu South Africa, Sio kabisa msoto ni mkuu,
Sina muda wa kusema Mengi Ila point yangu kuu km huna mtu Huku, km huna mtaji Pls watanzania wenzangu msije

Nimemaliza sim hii nimeazima japo tu niwasalim na kuwapa tahadhari,
Vijana wengi hasa wa Tanzania wanateseka Jamani
Sijui nisemeje, asie Sikia la mkuu basi azamie tu. View attachment 569601View attachment 569602
Wapo walio sema nimekufa Ila Mimi najichanga nirudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
enye uhalisia dogo haupo Sa maana hiyo picha ulipopigia nikichunguza vzuri mazingira umeamua2 kuchange Rand ulete mgogoro hapa

Wadau aminini msiamini dogo anafanya Field hapa bado hajatoka ila ndio anampango wa kutoka kubalini mkatae
 
ina maana hujui kazi yoyotete ya mikono jombaa? mwanaume unatakiwa ujue kazi zaidi ya saba ili popote uishi...ila ukiona waelemewa rudi home upambane, niliwahi kuzamia Haiti nikaona nimeingia cha kike nikarudi japo target hazikusoma huko nimerudi bongo na maisha si mabaya
mjomba we kiboko,haiti?nchi masikini kama ile mzee usingetoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nendeni tu Bondeni, wale wapiga debe wala ngada, Chid Benz waende tu huko huku hakuna haja ya kubaki.
 
Huyo mtu kama kweli yuko sauz namhurumia..maisha ya hapa c mzaha na vijana wengi wa kibongo madawa yanawaua.ila si wabongo wote wanateseka.kama aliingia bila plan atahangaika saana.arud hukohuko kijijin akalime.hiv mashamba yameisha?
 
Ni Siku nyingi Sana sijakuja hapa kuleta mrejesho,
Ndugu zangu South Africa, Sio kabisa msoto ni mkuu,
Sina muda wa kusema Mengi Ila point yangu kuu km huna mtu Huku, km huna mtaji Pls watanzania wenzangu msije

Nimemaliza sim hii nimeazima japo tu niwasalim na kuwapa tahadhari,
Vijana wengi hasa wa Tanzania wanateseka Jamani
Sijui nisemeje, asie Sikia la mkuu basi azamie tu. View attachment 569601View attachment 569602
Wapo walio sema nimekufa Ila Mimi najichanga nirudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali mwana umejionea mwenyewe,Sema si haba najuwa kuna mengi umejifunza.Big up mkuu.
 
Acha fix zako naona umerudi online kutafuta likes na comments unajifanya uko south Africa ilhali uko manyara acha kutufanya sisi mabwege ww
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom