Sophia Simba ambwaga Anne Kilango uenyekiti UWT

Acha mfu azike mfu mwenzake....wote mafisadi na huku chadema hatumtaki kabisaaaaaaaa!
 
Ukisikia mtu wa CCM kaibuka kidedea ujue amemzidi mwenzake kwa rushwa na mizengwe tu.Huko hakuna kidedea wa siasa za kistaarabu wala hoja.
Ha ha ha!!
Umenena mkuu.

Cha ajabu utaskia wanalalamikiana rushwa. Mbona hawalalamiki wakati rushwa inatolewa, wanakuja kulalamika baada ya kushindwa??
 
Mkuu chadema sio jamvi la wageni.
Huyo mama abaki hukohuko.
Ila hii famalia ya malecela ina mkosi, kuanzia Le Kibonge mpaka mama ake wote hawapendwi na wanachama wenzao.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

ukombozi wa chadema ni kwa watu wote. hatuchagui hatubagui cha muhimu ni kukiri chadema ni mkombozi wako. mia
 
[h=3]NA NDIO MAMA WA WAMAMA WA UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA NA WANAWAKE WA MAREKANI TUNAKUPONGEZA SANA MAMA LETU!!!!!!!!![/h]
Mama wa shoka!!!!!! mama mkakamavu !!!!!mama wa heshima!!!! Hongera sana wanawake wote tunakuamnia unaweza kwani tunafuata nyendo zako. Kutoka Bungeni hizi ni habari za TMZ (TG).....Tanzanite Glamour ndio TMZ ya kupasua na kutoa habari za ukweli live.......

HONGERA SANA MAMA YETU.......​


 
Sophia ni kambi ya Lowassa, Kilango kambi ya Sitta.
Mmoja ni shangingi na mmoja ni mshirikina, ila wote walishakamuliwa na mmasai.
Mkuuu,
Maneno mazito saana haya hizi habari akizipata mtoto wa kufikia le Mutus itabidi utafute pa kutokea
 
Hongera yake malkia wa mipasho a.k.a mama nonino kwa ushindi ambao unaifanya kazi yetu ya kuwashughulikia kuwa nyepesi zaidi.
Tutaendelea kukamua nonino na ushindi wa kimbunga 2015 tunachukua. Hahahaha pole sana Lemutuz na super mum kwa kudondokea kidevu, hiyo ni wazi kwamba baada ya uchaguzi mkuu wa 2015 tingatinga family inakuwa imefutwa katika siasa za Tanzania.
 
binafsi sioni tofauti yoyote, maana kama alikuwa kiongoz before and then chama kinazidi kudidimia, i wonder what she will do next
 
Ipo thread tayari ya hii kitu, ungeongezea kulekule tu!!
 
Si yupo Katika Kambi ya Lowassa Huyu??? Sasa sijui maadui wa Lowassa wataponea wapi.... Wanyeviti na Makatibu wa Mikoa wengi wanamkubali EDO.... Sasa UWT ya Sophia nae ndani....
 
Huu ndio ulikuwa msimamo wangu kuhusu Uchaguzi wa UWT kwenye uzi wangu huu Uenyekiti wa UWT: Ni Vita Kati ya Ukweli na Ubatili!

Uchaguzi umemalizika matokeo yametoka!, ubatili umeshinda!. Sasa tuendelee na mengine huku tukisubiria yatokanayo!.
 
Kupambana na Sofia Simba ni kupambana na Edward Ngoyai Lowassa. Ni sawa na mchicha kupambana na mbuyu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…