Sophia Mjema: Rais Samia ni hadi 2035

Sophia Mjema: Rais Samia ni hadi 2035

Habari ziwafikie mapeeemaaa kuwa mtaendelea na makasiliko hadi mkome.

Kwa mujibu wa Sophy Mjema ni kuwa mama Samia ni hadi 2035.

Ndani ya chama wewe kama humtaki basi andaa panadol za kutosha.

Hiyo ni kwa mijibu wa gazeti la Nipashe likimnukuu boss Mjema.
View attachment 2777273
Kwa sasa Rais samia ana miaka 63
Miaka 11 baadaye mwaka 2035 atakuwa na miaka 74
Mwaka mmoja kabla ya kifo cha jiwe Aliombwa kubadili katiba atawale milele mwisho wa siku katiba ikambadili yeye anywei Ngoja tuone
 
Kweni Samia akikaa mpaka 2035 Tanzania itafaidika kuwa na Mamilioni ya Chawa watakaozalishwa?

Je Chawa wanakuza Uchumi?Je Chawa ndio watashusha bei ya Mafuta? Je Chawa watashusha gharama za Maisha?
 
Jambo Jambo?

Kwa madudu haya ya huyu Mama kuna watu wanajitokeza kisa ulaji wa tumbo lake bila kufikiria hata kwa manufaa ya watoto au wajukuu wake, anajitokeza na kuongea takataka hizi.

huyu mama mpaka 2035 si nchi itakuwa ukiwa na imeoza mno.

Sijawahi kuona rahisi kilaza kama huyu.
NIMEMALIZA

Nshomile wa muleba
kwa sasa
Kwamatinyi, Arusha
IMG-20231010-WA0041.jpg
 
Jambo Jambo?

Kwa madudu haya ya huyu Mama kuna watu wanajitokeza kisa ulaji wa tumbo lake bila kufikiria hata kwa manufaa ya watoto au wajukuu wake, anajitokeza na kuongea takataka hizi.

huyu mama mpaka 2035 si nchi itakuwa ukiwa na imeoza mno.

Sijawahi kuona rahisi kilaza kama huyu.
NIMEMALIZA

Nshomile wa muleba
kwa sasa
Kwamatinyi, ArushaView attachment 2777714
Unafikiri anamaanisha asemacho!!?

Anamzubaza mama ili wenye dhamana wafanye yao!
 
Naunga mkono hoja.

Ukiacha chuki binafsi za machadomo na Sukuma gang ambazo sio big deal ila bila unafiki hakuna Rais wa kabla anaweza mfikia Samia kwenye delivery ya mambo ya uchumi Hadi kijamii.

Kama wenye Nchi mnampima mtu Kwa matokeo basi Samia ndio mtu sahihi ila kama mnataka porojo na blaa blaaa mtambadilisha.
Uchawa unakusaidia kwenda chooni tu period. Bahati mbaya ukienda chooni unaacha huko akili zote na ufahamu wote. Samia unamlinganisha na J.K Nyerere, Benjamin Mkapa na John Pombe Magufuli kweli kwa kusukuma maendeleo ya nchi hii? Fananisha Samia na Kikwete na Ali Hassan Mwinyi labda hapo nitakukubalia japo kidogo

UWE UNAFICHA UJINGA WAKO MPUMLIWA KISIGONI WEWE!
 
Ni lini mmewahi kuheshimu katiba? Acheni unafiki.... hata mikutano ilikua ni haki ya kikatiba ila JPM aliifuta ndio sembuse chaguzi? Akipitisha katiba mpya obvious ataruhusiwa kugombea 2030!! Hiyo ndio ccm, so acheni maigizo ya kwamba katiba huwa mnafuata.
Katiba ingekuwa haiheshimiwi huyo Samia angekuwa rais wako? Acha ujinga.
 
Back
Top Bottom