Sophia Mjema: Rais Samia ni hadi 2035

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Habari ziwafikie mapeeemaaa kuwa mtaendelea na makasiliko hadi mkome.

Kwa mujibu wa Sophy Mjema ni kuwa mama Samia ni hadi 2035.

Ndani ya chama wewe kama humtaki basi andaa panadol za kutosha.

Hiyo ni kwa mijibu wa gazeti la Nipashe likimnukuu boss Mjema.
Screenshot_20231010-003725_Instagram.jpg

Pia soma: KWELI - Makamu wa Rais akishika kiti cha urais kwa kipindi kinachozidi miaka mitatu ataruhusiwa kugombea kipindi kimoja tu
 
Habari ziwafikie mapeeemaaa kuwa mtaendelea na makasiliko hadi mkome.

Kwa mujibu wa Sophy Mjema ni kuwa mama Samia ni hadi 2035.

Ndani ya chama wewe kama humtaki basi andaa panadol za kutosha.

Hiyo ni kwa mijibu wa gazeti la Nipashe likimnukuu boss Mjema.
View attachment 2777273
Mkapa alizaliwa November 12, 1938 na akastaafu mwaka 2005 akiwa na miaka 66

Kikwete alizaliwa October 7, 1950 na akastaafu mwaka 2015 akiwa na miaka 65

Magufuli alizaliwa October 29, 1959 na kama asingefariki angestaafu mwaka 2025 akiwa na miaka 65

Hivyo hata Samia aliyezaliwa January 27, 1960 angestaafu mwaka 2025 akiwa na miaka 65...zaidi ya hapo atakuwa kikongwe - atapigwa hela na wahuni mpaka basi, atachomekewa vitu kama majina ya teuzi, mikataba, nakadhalika; leo tu akiwa na nguvu kiasi mambo yanamlemea sembuse mwaka 2030 au 2035
 
Hiyo ni kwa mujibu wa wana ccm wenyewe
 
Usikariri, wakati hubadilika!
 
Back
Top Bottom