Huyo ni sophia mjema je wewe unasemaje hakuna dalili ya lissu au mdude au chadema kushika dola tupe msimamo si kwa furaha hiyo!Habari ziwafikie mapeeemaaa kuwa mtaendelea na makasiliko hadi mkome.
Kwa mujibu wa Sophy Mjema ni kuwa mama Samia ni hadi 2035.
Ndani ya chama wewe kama humtaki basi andaa panadol za kutosha.
Hiyo ni kwa mijibu wa gazeti la Nipashe likimnukuu boss Mjema.
View attachment 2777273
Hata Jiwe alikua anajiandaa kutawala milele yuko wapi?Habari ziwafikie mapeeemaaa kuwa mtaendelea na makasiliko hadi mkome.
Kwa mujibu wa Sophy Mjema ni kuwa mama Samia ni hadi 2035.
Ndani ya chama wewe kama humtaki basi andaa panadol za kutosha.
Hiyo ni kwa mijibu wa gazeti la Nipashe likimnukuu boss Mjema.
View attachment 2777273
Kwanza na hiyo pumu inayomfanya azimie hovyo unafikiri intamfikisha hadi wapi? Wakati wa Magufuli tuliwaulisa kwa afraid ipi Magufuli atatawala milele?Mkapa alizaliwa November 12, 1938 na akastaafu mwaka 2005 akiwa na miaka 66
Kikwete alizaliwa October 7, 1950 na akastaafu mwaka 2015 akiwa na miaka 65
Magufuli alizaliwa October 29, 1959 na kama asingefariki angestaafu mwaka 2025 akiwa na miaka 65
Hivyo hata Samia aliyezaliwa January 27, 1960 angestaafu mwaka 2025 akiwa na miaka 65...zaidi ya hapo atakuwa kikongwe - atapigwa hela na wahuni mpaka basi, atachomekewa vitu kama majina ya teuzi, mikataba, nakadhalika; leo tu akiwa na nguvu kiasi mambo yanamlemea sembuse mwaka 2030 au 2035
Cha ajabu ni kipi? Ulikuwa bado unanyonya kipindi Cha mwendazake,chawa wenzio walimwita mhe.Mumgu na wakasema stake asitake lazima agombeeHabari ziwafikie mapeeemaaa kuwa mtaendelea na makasiliko hadi mkome.
Kwa mujibu wa Sophy Mjema ni kuwa mama Samia ni hadi 2035.
Ndani ya chama wewe kama humtaki basi andaa panadol za kutosha.
Hiyo ni kwa mijibu wa gazeti la Nipashe likimnukuu boss Mjema.
View attachment 2777273
Ukiacha kifo hakuna kingine Cha kumzuiaOoh hata Ndugai alisema, mtake msitake Magufuli ataongezewa miaka
Ukiacha mapovu ya machadomo na Sukuma gang Samia anastahili kukaa Hadi 2035 kama yule mama wa UjerumaniCha ajabu ni kipi? Ulikuwa bado unanyonya kipindi Cha mwendazake,chawa wenzio walimwita mhe.Mumgu na wakasema stake asitake lazima agombee
Naunga mkono hoja.Ni sawa, tumeambiwa tuende chuo miaka mitatu tupate digri hatujaanza kujiandikisha, sasa wenye nchi wameamua hivyo.
Huyu nae aache kuropoka! Halafu kama hajui kauli kama hizi zinamharibia mama badala ya kumjenga! Ni hujuma kwa mama!!Habari ziwafikie mapeeemaaa kuwa mtaendelea na makasiliko hadi mkome.
Kwa mujibu wa Sophy Mjema ni kuwa mama Samia ni hadi 2035.
Ndani ya chama wewe kama humtaki basi andaa panadol za kutosha.
Hiyo ni kwa mijibu wa gazeti la Nipashe likimnukuu boss Mjema.
View attachment 2777273
Wangesema iwe kama kwa Kagame hata uchaguzi ufutwe,maana ,,2035 ni karibu sana /siyo mbaliUkiacha mapovu ya machadomo na Sukuma gang Samia anastahili kukaa Hadi 2035 kama yule mama wa Ujerumani
Kagame uchaguzi inafanyika na anashinda Kila mara Sasa ufutwe Ili iwaje?Wangesema iwe kama kwa Kagame hata uchaguzi ufutwe,maana ,,2035 ni karibu sana /siyo mbali
Eti hadi 2035,..huyo sophia amelewa mataptap. Katika nafadi yake hatakiwi kufanya kejeri kama mjinga. Ina maana hata katiba hajui? Watu hawana hamu ya kuongozwa na huyo mtu aliyeruhusu watumishi wa umma wale hongo halafu unasema aongoze hadi 2035? Aache kudharau wananchi mpuuzi huyo.Habari ziwafikie mapeeemaaa kuwa mtaendelea na makasiliko hadi mkome.
Kwa mujibu wa Sophy Mjema ni kuwa mama Samia ni hadi 2035.
Ndani ya chama wewe kama humtaki basi andaa panadol za kutosha.
Hiyo ni kwa mijibu wa gazeti la Nipashe likimnukuu boss Mjema.
View attachment 2777273
Kwetu kulala nyumba za tembe ni kazi ya Rais kutujengea? Ungeuliza kwenu Kuna maji,Afya,Elimu,Barabara,kazi nkAlafu unakuta kwenu wanalala kwenye nyumba za tembe/ maisha magumu!
Ni lini mmewahi kuheshimu katiba? Acheni unafiki.... hata mikutano ilikua ni haki ya kikatiba ila JPM aliifuta ndio sembuse chaguzi? Akipitisha katiba mpya obvious ataruhusiwa kugombea 2030!! Hiyo ndio ccm, so acheni maigizo ya kwamba katiba huwa mnafuata.Akasome Katiba tena; wanagesubiri JPM amalize miaka miwili ndipo pumzi ikatike, ni kweli anegifikisha 35 lakini iliwahi sana.
Kumbu huyu naye ni dokta kipepe asiyejua kusoma katiba?
View attachment 2777295
Huyo dada hawezi kulijua hilo kamwe,kichwani ni mtupuHajui kuwa katiba inahesabu KWA 2021/2025 ni kipindi cha kwanza kwake?
Angeanzia uraisi mwaka guy mpaka 2025 ndio katiba 'isingehesabu' hivyo kumruhusu kuanza kuhesabu 2025/2030 kama kipindi cha Kwanza