Sophia Mjema: Rais Samia ni hadi 2035

Sophia Mjema: Rais Samia ni hadi 2035

Waache kumletea UCHURO,mwendazake walishapanga kumuongeza muda matokeo yake hata ngwe yake hakumaliza,SAMIA AACHWE APIGE KAZI,AKIFIKA 2030 INSHA ALLAH ATAKABIDH KIJITI KWA MDUDE CHADEMA AU MWABUKUSI,ACHENI NONGWA
 
Atauza mpaka ,mlima Kilimanjaro .
Wachagga wajiandae kuhamia mpanda kama lengo la wakoloni lilivyokuwa .
YUPO PALE KUTIMIZA MALENGO YA WAKOLONI.
 
Pwani yote ya mikoa ya kuisini imeshauzwa Kwa wageni.
Tuwaandae kisaikolojia wajukuu zetu.
Mjukuu wa Tip Tip ameirejesha Tanganyika Kwa mmiliki wake wa Karne ya 17.
 
Hiyo mbona inajulikana kabisa na ni obvious Rais Dkt Samia a.k.a jembe letu, mzalendo wetu ni mpaka 2045, yaani akimaliza 10 hapo 2035 tutamuomba aongeze tena 10 atufikishe nchi ya ahadi 2045!

Mara paah moyo umefeli😁
 
Yaani hapa na mimi ndo sielewi.TANZANIA YA LEO KARNE YA 21,AKINA MAMA WANALALA CHINI ILI WAZIRI AWAKANYAGE APITE JUU YAO,na bado Waziri huyo bado halazimishwi na Boss wake kwamba ni Lazima Ajiuzulu ? Utumwa huu,enzi za Nyerere,huyu Nape angekuwa uwaziri hana.Ni aibu kubwa kwa Tanzania tunaojisifia kwamba tunajali utu
 
Cc: wana wa Mtama
 
Unazidi kuonesha ujinga wako. Rais kakaa miaka sio zaidi ya mitatu unataka kulinganisha na Marais waliopita?. Waliopigania uhuru, tengeneza mfumo wa nchi, tengeneza miundombinu, TRA, Taasisi, nk. Wewe bisha kisa unalipwa , ila kulinganisha kazi ya Samiah na Marais watano waliopita ni ujinga.
Kazi gani aliyofanya zaidi ya hii spoon feeding aliyoachiwa na JPM? Achana na huyi chawa maana uchawa ukizidi unakua ushoga!
 
Back
Top Bottom