Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,426
- 17,741
Akili huna....
Hakunuka kipindi cha JPM kutanukaje leo ?!! [emoji15][emoji1787]
subiria utaona, 2025 raisi mwingine anakuja …
Akili huna....
Hakunuka kipindi cha JPM kutanukaje leo ?!! [emoji15][emoji1787]
1. NEC ni CCMYaani ndivyo hivyo....
Mtake msitake....
Matusi ya nini kumbe Joined jf April 2023!Zwazwa wewe...
Mungu anahusika vipi na siasa zetu?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787]
Hutanipa mgongo kwa kuwa si katika wale uliowazoea wa miaka mingi ?!!!
Kweeli tutake tusitake...Ila yote anayajua Mwenyezi Mungu sio hawa wana siasaYaani ndivyo hivyo....
Mtake msitake....
Katibu Mwenezi Kilaza tangu chama cha Mapinduzi kianze kushika utamu!Habari ziwafikie mapeeemaaa kuwa mtaendelea na makasiliko hadi mkome.
Kwa mujibu wa Sophy Mjema ni kuwa mama Samia ni hadi 2035.
Ndani ya chama wewe kama humtaki basi andaa panadol za kutosha.
Hiyo ni kwa mijibu wa gazeti la Nipashe likimnukuu boss Mjema.
View attachment 2777273
😅Kwani Katiba inasemaje bwashee? Katiba ni biblia au Quran ?
Lakini hawana uwezo !!Uzuri wa CCM wote wapo kimkakati wanakitolea mate kiti chake………?!!
Wenye Akili huwa wanaogopewa mle ndani !!Ni aibu kuwa na kiongozi kama Mjema katika nafasi nyeti kama hiyo ndani ha Chama.
Nasikitika sana, kadri miaka inavyozidi kusonga ndivyo taifa letu linavyozidi kupoteza watu/viongozi makini. Nikifikiria aina ya viongozi tuliokuwa nao japo hata miaka ya 2005 kurudi nyuma na hawa akina Mjema tulionao leo, kuna siku hili taifa litakosa viongozi.
Kama Mjema ni mtu aliyeaminika na chama, akawa Mkuu wa wilaya hadi katibu wa itikadi na uenezi wa Chama halafu ndio anatapika pumba kama hizi sijui hao ambao hata hawajaaminika kupewa nafasi nyeti wana hali gani.
Hutakiwa kupoteza.muda wako kufikiria kauli za watu wenye upungufu wa akili.Habari ziwafikie mapeeemaaa kuwa mtaendelea na makasiliko hadi mkome.
Kwa mujibu wa Sophy Mjema ni kuwa mama Samia ni hadi 2035.
Ndani ya chama wewe kama humtaki basi andaa panadol za kutosha.
Hiyo ni kwa mijibu wa gazeti la Nipashe likimnukuu boss Mjema.
View attachment 2777273
Ni zaidi katika upunguani?Sophia Mjema ni zaidi ya Ndugai...
Sijui kwa nini CCM hupendelea kuongozwa na watu wenye akili ndogo! Watu ambao hawana hata ule uelewa wa kawaida!!Elimu yake na uelewa wake upoje
kaka, ndani ya CCM ukijifanya una akili huwezi ku exist, watakutoa, so ni lazima uishi humo ki mkakati...Sijui kwa nini CCM hupendelea kuongozwa na watu wenye akili ndogo! Watu ambao hawana hata ule uelewa wa kawaida!!
SawaHiyo "hatihati" unayo mkononi mwako...mwenyekiti Samia hana hiyo.....[emoji1787]
Ccm ni chanzo cha matatizo yanayo watatiza watanzania ukiwepo umasikini
Walianza hivyo wakati wa JPM mwisho ikawa makasiriko kwa mungu kilichotokea ni kukosa woteHabari ziwafikie mapeeemaaa kuwa mtaendelea na makasiliko hadi mkome.
Kwa mujibu wa Sophy Mjema ni kuwa mama Samia ni hadi 2035.
Ndani ya chama wewe kama humtaki basi andaa panadol za kutosha.
Hiyo ni kwa mijibu wa gazeti la Nipashe likimnukuu boss Mjema.
View attachment 2777273