econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 24,222
- 38,031
Ikiwapendeza wabunge wetu wafanye jambo kwenye katiba ili Mama aongoze hadi 2040 ili kwenda sawa na hitaji la wananchi wengi kwa sasa.
Wanafiki Kama nyie hamkosekani. Hata Mkapa alipokaribia kumaliza muda wake, chawa Kama wewe walijitokeza ili aongezewe muda.