econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 23,946
- 37,227
Kwenye mambo mengi tuu kama haya 👇
View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1712081438047129971?t=wGK6fkDwFBSnkMQDLUxdIQ&s=19
Kwa hivyo hicho kiwanda Cha meli ndio limekuzuzua.
Kwenye mambo mengi tuu kama haya 👇
View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1712081438047129971?t=wGK6fkDwFBSnkMQDLUxdIQ&s=19
Mama anakuza uchumi wa mtu mmja mmja.Kuna sababu buku za Kwa nini SamiaKwa hivyo hicho kiwanda Cha meli ndio limekuzuzua.
Kiliwahi kuwapo Tanzania hii?Kwa hivyo hicho kiwanda Cha meli ndio limekuzuzua.
Kwani uchumi ni kudhibiti mfumuko wa bei pekee? Uchumi ni growth rates na uwezo wa kuhudumia jamii.
Kiliwahi kuwapo Tanzania hii?
Hiki kinakwenda bandari mpya ya Kilwa.
In shaa Allah Mama Samia awe Rais mpaka 2040.
Achaga ujinga wewe Babu ,Samia sio level ya nyie nyumbu ,anapiga kote kote 👇Usipodhibiti mfumuko wa Bei, basi huwezi kufanya chochote Cha maana kwenye uchumi. Mtu umeingia madarakani umekuta Lita moja ya petroli ni 2300, Leo imepanda mpaka 3500, Ina maana ,kupanda kwa mafuta kutapelekea kupanda kwa gharama za usafirishaji na pia Bei ya bidhaa itapanda. Hivyo ujenzi wa nyumba utakuwa mgumu kuliko miaka miwili iliyopita
Umeenda makwao ukawakosa?Mnarudia makosa yaleyale kipindi Cha Magufuli. Kiburi Cha madaraka. Kawaulize akina Nkamiah na Kessy walioshadadia wapo wapi Leo.
Kazi ya Mungu haina makosa.Mnarudia makosa yaleyale kipindi Cha Magufuli. Kiburi Cha madaraka. Kawaulize akina Nkamiah na Kessy walioshadadia wapo wapi Leo.
Na Bado utaweweseka sana naona Dua zenu zimegoma 😂😂Kimewahi kuwepo. Niulize nikwambie.
Hata akileta hafiki 2035 muwe mnaangaiia Katiba na kuisoma na kuielewaTurufu yake ipo kwenye upenyo wa kuleta katiba mpya!
Inasikitisha kiongozi wa chama kikongwe kilichoshika dola kwa miongo kadha katiba ya nchi haijui vizuri.Akasome Katiba tena; wanagesubiri JPM amalize miaka miwili ndipo pumzi ikatike, ni kweli angefikisha 35 lakini iliwahi sana.
Kumbe huyu naye ni dokta kipepe asiyejua kusoma katiba?
View attachment 2777295
Ni mchaga,Nyerere alikataza Katu,hapati ng'oooSophia Mjema ni zaidi ya Ndugai...
Akili yako haina uwezo wa kujitegemea inategemea akili nyingine udhaifu mbaya sana huo![emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956]