Tumia muda wako mwingi kukaa (ku spend) na familia yako, hao unaokunywa nao pombe iko siku watakuzimia simu mxieeeew.
Unakuta lijanaume hata watoto hawalijua linatoka asubuhi linarudi saa saba usiku lipo tungi halijui hili wala lile,unafikiri huo ndio uwanaume???
Sijui yatabadilika lini haya madudee
Ukiona Mme anarudi kwake saa 7 usiku jua nyumba ushageuza kituo cha polisi kesi na malalamiko hayeshi so huona bora akute mlalamikaji kalala na malalakiwa hayuko zahiri hapo hapo kesi haiwezi kuendelea.mwanawake mkipunguza malalaniko tutafurahia kukaa majumbani kwetu mapema