Somo kwa wanaume

Somo kwa wanaume

Tumia muda wako mwingi kukaa (ku spend) na familia yako, hao unaokunywa nao pombe iko siku watakuzimia simu mxieeeew.
Unakuta lijanaume hata watoto hawalijua linatoka asubuhi linarudi saa saba usiku lipo tungi halijui hili wala lile,unafikiri huo ndio uwanaume???

Sijui yatabadilika lini haya madudee

Dah eti aya madedu

Ila jua ukiona ivo ujue anaepusha uhomvi wa mar kwa mara mlonao apo om,pengine unaongea saan
 
Tumia muda wako mwingi kukaa (ku spend) na familia yako, hao unaokunywa nao pombe iko siku watakuzimia simu mxieeeew.
Unakuta lijanaume hata watoto hawalijua linatoka asubuhi linarudi saa saba usiku lipo tungi halijui hili wala lile,unafikiri huo ndio uwanaume???

Sijui yatabadilika lini haya madudee

Punguza hisia, kama home asomeki huyo kwenye chama chetu tunamfuta haraka sana kwa sababu anaaibisha chama LA wana. Kwa maana nyingine huyo ni mbuzi
 
Mengine muwe mnatuonea huruma, ukirudi nyumbani mapema unakuta mke kalamba sumu, haongei, hata pole na kazi haipo. Kwanini nisipite baa nikapata faraja japo kwa muda ni kurudi nyumbani naangusha tu mbavu zangu kitandani mzungu wa nne?
 
Tumia muda wako mwingi kukaa (ku spend) na familia yako, hao unaokunywa nao pombe iko siku watakuzimia simu mxieeeew.
Unakuta lijanaume hata watoto hawalijua linatoka asubuhi linarudi saa saba usiku lipo tungi halijui hili wala lile,unafikiri huo ndio uwanaume???

Sijui yatabadilika lini haya madudee

Tulia wewe, aliotoa mahari nani na aliejibu yes i do madhabauni ni nani?
 
Tatizo sio watoto… tatizo mke ndo chanzo cha matatizo na kwazo
 
unataka tushinde nyumban tufanye nini?nikupake kucha rangi? huo ni udada .lazima nikae na wana bar tuburudike .mwanaume kushindashinda nyumbani ni umama
 
Exactly wanaume uwa mnajisahau mnahisi mnaweza furahisha walevi wenzenu
Love and treat well your family when they need you most!
 
Tumia muda wako mwingi kukaa (ku spend) na familia yako, hao unaokunywa nao pombe iko siku watakuzimia simu mxieeeew.
Unakuta lijanaume hata watoto hawalijua linatoka asubuhi linarudi saa saba usiku lipo tungi halijui hili wala lile,unafikiri huo ndio uwanaume???

Sijui yatabadilika lini haya madudee

Si alikutongozea bar sasa walalama nini ? Tulia sawa ikuuingiee !!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom