Hawa tunawadekeza wenyewe kila mtu akijaribu kuwa serious na ndoa yake unafikiri haya yatatokea?Mkuu we acha tu.Tuombe unyago uwekwe ktk syllabus ya msingi huenda tukakiponya kizazi hiki cha .com.
Acheni kuwapa vichwa hawa wakina mama mnawadekeza mjueMwanamke akiamua kujiongeza na kujaza store kwa hela zake ni heri ila sio wajibu wake.
Mwanaume ni wajibu wako kufanya kila kitu kwasababu wewe ndo baba na kiongozi wa familia.
Uko sahihi but wanaisoma! Wakitelekezwa wanalialia hadi huruma.Acheni kuwapa vichwa hawa wakina mama mnawadekeza mjue
Kwakweli hayawezi kutokea maana ukiwa serious huwezi kulilia pesa ya mwanamke.Hawa tunawadekeza wenyewe kila mtu akijaribu kuwa serious na ndoa yake unafikiri haya yatatokea?
Hivi pesa zenu huwa mnafanyia nn kama unashindwa kumsaidia mumeo hata kwenye miradi ya maendeleo.Kwakweli hayawezi kutokea maana ukiwa serious huwezi kulilia pesa ya mwanamke.
Zina matumizi makubwa mno, we anzisha mradi nitakusaidia kusimamia.Hivi pesa zenu huwa mnafanyia nn kama unashindwa kumsaidia mumeo hata kwenye miradi ya maendeleo.
Tunawadekezaje?Acheni kuwapa vichwa hawa wakina mama mnawadekeza mjue
Matumizi makubwa yapi ambayo mumeo sipaswi kuyafahamu?Zina matumizi makubwa mno, we anzisha mradi nitakusaidia kusimamia.
Hata ukiyafahamu hayatokusaidia kitu, we tumika tu.Matumizi makubwa yapi ambayo mumeo sipaswi kuyafahamu?