ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,305
Nikuwa sote tunawajibu sawa kujenga a better family.siyo eti changu chetu chako chako .huo usawa umekaaje mheshimiwa.Mantiki ya hoja yako ni nini?
Nikuwa sote tunawajibu sawa kujenga a better family.siyo eti changu chetu chako chako .huo usawa umekaaje mheshimiwa.Mantiki ya hoja yako ni nini?
Nikuwa sote tunawajibu sawa kujenga a better family.siyo eti changu chetu chako chako .huo usawa umekaaje mheshimiwa.
Mmh haya. Naheshimu mawazo yako ila ni ghali sana kwa huyu lady ambaye hachangii chochote.seems to me like hana say kwa lolote pia , utakalo lazima litimizwe tu kivyovyote.Ni udhaifu kwa mwanaume kutegemea pesa ya mke wako..
You should man up and pay your bills and family's.
Aaaaaaaaaaaaaaamen!Na wote tuseme Amen![]()
![]()
Mmh haya. Naheshimu mawazo yako ila ni ghali sana kwa huyu lady ambaye hachangii chochote.seems to me like hana say kwa lolote pia , utakalo lazima litimizwe tu kivyovyote.
Likija suala la pesa mnatusaidia wenyewe kuihubiri 50/50 ila yakija majukumu mengine utasikia wanawake wa siku hizi hawajielewi!!!Kama ni hivyo akae nyumbani alee watoto basi remember slogan ya bawata? Haki sawa mujukumu kwa wote.sasa hapa 50/50 inakuwaje mkuu.Tusipotoshane kama baba ni kichwa mama ni shingo wote ni mwili.
Aisee yaani wote tunaamka saa 11 tunawahi kazini tena tunarudi wote nyumbani saa 2 usiku alafu unasema mshahara wake ni wake ila wa kwangu ndio wa familia pamoja na yeye!!!Mwanamke akiamua kujiongeza na kujaza store kwa hela zake ni heri ila sio wajibu wake.
Mwanaume ni wajibu wako kufanya kila kitu kwasababu wewe ndo baba na kiongozi wa familia.
Aisee yaani wote tunaamka saa 11 tunawahi kazini tena tunarudi wote nyumbani saa 2 usiku alafu unasema mshahara wake ni wake ila wa kwangu ndio wa familia pamoja na yeye!!!
Hahahaaaaa labda kama sio mm, hiyo kazi yake ina faida gani kwangu na wanae!? Mbona beki tatu angeshampindua mapema ili akawe huru zaidi na mshahara wake na maisha yake.
Ujinga ujinga sipendi kabisa mm.
Mkuu hawa ukiwadekeza ndio wanazidi kukupanda zaidi kichwani ni kuishi nao kwa akili sana wasikujue kabisa tabia yako halisi! Vinginevyo utajikuta ukifa kijerumani na tai shingoni.Sawa mkuu. Ila huo ndio ukweli...
Kama ni uchawi wa nywele,si achukue mavuzi yake tu au vipi?wakuu habari leo kuna jambo nataka kushare na umma wa watanzania haswa hawa wanawake walioolewa
Dada ndani ya nyumba kwenye dressing table yako vikorokoro ni vingi na vina thamani kushinda hata thamani ya hifadhi ya chakula stoo ambapo unakuta kwenye dressing table kuna vipodozi vya million 2 lakini stoo kuna chakula cha 12000 yaani papai moja,dagaa kilo 2 na unga kilo 4.mmh! hata kama urembo kuna ukomo wake.sasa hapo mzee mzima huna kiwanja upo sebuleni unakunywa chai na papai unamsikia waif anapiga cm "haloo shost ile angel face yangu imeisha halafu nataka ninunue pafyum ya christian dior jumla hapo ni laki nne hapa nina laki moja tu nasubiri hubby aniongezee laki 3 nipitie hapo shopping kwako" mwanaume unakonda ghafla
kwa wale wanaume wanaoamini uchawi wanataman wakuroge shida lakin wanajua tu wakichukua nywele zako tu kupeleka kwa mganga aidha mwanamke wa kibrazil asiye na hatia anakuwa chizi au kiwanda cha nywele china kinaungua.
dada fanya urembo na maendeleo bc urembo bila maendeleo si urembo ta