Mwanamke akiamua kujiongeza na kujaza store kwa hela zake ni heri ila sio wajibu wake.
Mwanaume ni wajibu wako kufanya kila kitu kwasababu wewe ndo baba na kiongozi wa familia.

Wanafurahisha hawa watu. Wao kwenye pesa tu ndo wanakumbuka 50/50Likija suala la pesa mnatusaidia wenyewe kuihubiri 50/50 ila yakija majukumu mengine utasikia wanawake wa siku hizi hawajielewi!!!
Na nyie hamjielewi kulilia pesa za wanawake.
jambo hilo haliwezekani kama ndo hivyo basi ngoja wanaume tufanye maendeleo lakini mwisho wa siku tukiachana asidai chochote nilichochuma mimi nisije nikambaka bure
Nachokiona kutoka kwenu wanawake ni ubinafsi uliopitiliza na hapa ndipo mnapofeli na kugeuza ndoa kuwa uwanja wa vita na mashindano. Unaona shida gani kumnyanyua mumeo pale anapoanguka?We hebu acha balaa!! Huo ni mzigo wako. Lini tulitaka mtusaidie kubeba mimba.
Wanafurahisha hawa watu. Wao kwenye pesa tu ndo wanakumbuka 50/50
Nachokiona kutoka kwenu wanawake ni ubinafsi uliopitiliza na hapa ndipo mnapofeli na kugeuza ndoa kuwa uwanja wa vita na mashindano. Unaona shida gani kumnyanyua mumeo pale anapoanguka?
Nimekuoa uwe msaidizi wangu pale naposhindwa ww unisaidie niweze ili kufunika yale mapungufu yangu pamoja tusonge mbele kutengeneza familia iliyo bora.
Ila leo hii wanawake bila hata aibu unakuta mumewe pamoja na kuihudumia familia kwa kila kitu ikafika mahala kakwama mke bila hata huruma wala haya utamsikia ni jukumu lake atajua mwenyewe na hapo uwezo wa kumsaidia anao. Sasa hiyo ni ndoa au uwanja wa mapambano?
Ifike pahala wanawake mbadilike mtaolewa na kuachika sana na wengine mtaishia kuhudhuria za wenzenu tu.
Binti haya maisha hayana formula kuna kupanda na kushuka, huyo unayemwona yupo juu leo usishangae kesho kumkuta chini. Ndio maana kwenye ndoa kuna kiapo cha shida na raha, ila nyie wenzetu mnataka kwenye raha tu! Hilo neno kwenye shida limewashinda kabisa.Na wewe mwanaume mzima kwanini ulioa kama unajua utayashindwa majukumu yako?
Binti haya maisha hayana formula kuna kupanda na kushuka, huyo unayemwona yupo juu leo usishangae kesho kumkuta chini. Ndio maana kwenye ndoa kuna kiapo cha shida na raha, ila nyie wenzetu mnataka kwenye raha tu! Hilo neno kwenye shida limewashinda kabisa.
Ndio maana ndoa za vijana wengi huvunjika pindi mume anapofukuzwa kazi/kufilisika au kuyumba kiuchumi.
Badilikeni enyi wanawake.
Ww mbishi tu unataka ligi ila mpaka sasa nimeishaisoma saikolojia yako kwamba umeelewa somo.😛😛😛Kwakweli kuna haja ya hicho kipengele kufanyiwa marekebisho. We ulipandaje hadi ushuke!! Ukishapanda baki huko huko. Ukishuka baki mwenyewe.
Hilo somo siwezi kulielewa aisee!! Nimegoma.Ww mbishi tu unataka ligi ila mpaka sasa nimeishaisoma saikolojia yako kwamba umeelewa somo.😛😛😛
BE YOU.Hilo somo siwezi kulielewa aisee!! Nimegoma.
And this is me.BE YOU.
Daah,pumbu tena?,basi nimekoma mkuu.Sieleweki kutoka lini? Njoo uzione pumbu
Kweli marekebisho yanahitajika haiwezekani uko juu afu ukubali kushuka tenaKwakweli kuna haja ya hicho kipengele kufanyiwa marekebisho. We ulipandaje hadi ushuke!! Ukishapanda baki huko huko. Ukishuka baki mwenyewe.
Ni kukosa maarifa huko, hata Mungu hapendi tukose maarifa maana tutaangamia.Kweli marekebisho yanahitajika haiwezekani uko juu afu ukubali kushuka tena
unamuacha mkeo kisa hajakusaidia???Nachokiona kutoka kwenu wanawake ni ubinafsi uliopitiliza na hapa ndipo mnapofeli na kugeuza ndoa kuwa uwanja wa vita na mashindano. Unaona shida gani kumnyanyua mumeo pale anapoanguka?
Nimekuoa uwe msaidizi wangu pale naposhindwa ww unisaidie niweze ili kufunika yale mapungufu yangu pamoja tusonge mbele kutengeneza familia iliyo bora.
Ila leo hii wanawake bila hata aibu unakuta mumewe pamoja na kuihudumia familia kwa kila kitu ikafika mahala kakwama mke bila hata huruma wala haya utamsikia ni jukumu lake atajua mwenyewe na hapo uwezo wa kumsaidia anao. Sasa hiyo ni ndoa au uwanja wa mapambano?
Ifike pahala wanawake mbadilike mtaolewa na kuachika sana na wengine mtaishia kuhudhuria za wenzenu tu.
Mkuu we acha tu.Tuombe unyago uwekwe ktk syllabus ya msingi huenda tukakiponya kizazi hiki cha .com.Nachokiona kutoka kwenu wanawake ni ubinafsi uliopitiliza na hapa ndipo mnapofeli na kugeuza ndoa kuwa uwanja wa vita na mashindano. Unaona shida gani kumnyanyua mumeo pale anapoanguka?
Nimekuoa uwe msaidizi wangu pale naposhindwa ww unisaidie niweze ili kufunika yale mapungufu yangu pamoja tusonge mbele kutengeneza familia iliyo bora.
Ila leo hii wanawake bila hata aibu unakuta mumewe pamoja na kuihudumia familia kwa kila kitu ikafika mahala kakwama mke bila hata huruma wala haya utamsikia ni jukumu lake atajua mwenyewe na hapo uwezo wa kumsaidia anao. Sasa hiyo ni ndoa au uwanja wa mapambano?
Ifike pahala wanawake mbadilike mtaolewa na kuachika sana na wengine mtaishia kuhudhuria za wenzenu tu.
Wewe lofa achana na mimi aseee!unamuacha mkeo kisa hajakusaidia???
wewe kaka,usiseme kwa sauti watu wakasikia.