Sometimes wanawake mtulize vichwa tufanye maendeleo!

Mkuu hawa ukiwadekeza ndio wanazidi kukupanda zaidi kichwani ni kuishi nao kwa akili sana wasikujue kabisa tabia yako halisi! Vinginevyo utajikuta ukifa kijerumani na tai shingoni.
Kusudi halisi la Mungu kumuumba mwanamke ni kumsaidia mwanaume, sasa shida inakuja pale mwanamke anapokaa tu kama pambo nyumbani hana msaada wowote tena mbaya zaidi anafanya kazi unafikiri hiyo ndoa itadumu hata kama mume ana uwezo sana!? No way lazima ife tu kwasababu hilo halikuwa kusudi halisi la Mungu.

Ishi na mwanamke kwa akili.. Usitumie nguvu sana kujionesha kama wewe ni baba wa familia.
 
Mkuu hawa ukiwadekeza ndio wanazidi kukupanda zaidi kichwani ni kuishi nao kwa akili sana wasikujue kabisa tabia yako halisi! Vinginevyo utajikuta ukifa kijerumani na tai shingoni.
Kusudi halisi la Mungu kumuumba mwanamke ni kumsaidia mwanaume, sasa shida inakuja pale mwanamke anapokaa tu kama pambo nyumbani hana msaada wowote tena mbaya zaidi anafanya kazi unafikiri hiyo ndoa itadumu hata kama mume ana uwezo sana!? No way lazima ife tu kwasababu hilo halikuwa kusudi halisi la Mungu.

Hilo andiko lipo kwenye kitabu gani mkuu?
Haijaandikwa mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho lake?

Tusaidiane kwani wewe mwanaume unamsaidia mkeo wakati wa uchungu?
Acha hizo wewe.
 
Biblia kitabu Mwanzo 2:18 Kisha Mungu akasema,'' si vyema huyu mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye''.
 
Likija suala la pesa mnatusaidia wenyewe kuihubiri 50/50 ila yakija majukumu mengine utasikia wanawake wa siku hizi hawajielewi!!!
Na nyie hamjielewi kulilia pesa za wanawake.
Hakuna anayeililia pesa yako,kama vip we baki nayo tu na mie nibaki na yangu siyo utake kulishwa kama mtoto halafu utake na kunipangia matumizi.Itapendeza zaidi ukienda kutumia huko kwenu yaani kiroho safi tu..Nikuzalishe,nikulishe,nikuvishe,nikupambe,nikulelee, sasa una faida gani humo ndani? Jiongeze ukitaka kukaa au safar Salama.
 
Nina faida gani??? Kwani ulinioa ili nije nikuzalie,nikulishe,nikuvishe,nikufulie,nikupikie,nikujengee,nikufanyie usafi,nikufariji, damn!! Hapo uanaume wako uko wapi!!

Subiri ukikua utayajua majukumu ya mwanaume na sio kulia lia.
 
Biblia kitabu Mwanzo 2:18 Kisha Mungu akasema,'' si vyema huyu mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye''.
Si ndio msaidizi wa kukusaidia kutumia vyema hizo pesa zetu
 
Mkuu hawa ukiwadekeza ndio wanazidi kukupanda zaidi kichwani ni kuishi nao kwa akili sana wasikujue kabisa tabia yako halisi! Vinginevyo utajikuta ukifa kijerumani na tai shingoni.
Kusudi halisi la Mungu kumuumba mwanamke ni kumsaidia mwanaume, sasa shida inakuja pale mwanamke anapokaa tu kama pambo nyumbani hana msaada wowote tena mbaya zaidi anafanya kazi unafikiri hiyo ndoa itadumu hata kama mume ana uwezo sana!? No way lazima ife tu kwasababu hilo halikuwa kusudi halisi la Mungu.
Anakaa tu ndani hana msaada wowote!!!
Yaani nyie viumbe bwana, kwahiyo msaada wa mwanamke ni kukupa pesa? No wonder.
 
Si ndio msaidizi wa kukusaidia kutumia vyema hizo pesa zetu
Unajua tafsiri sahihi ya neno ''msaidizi''? kwa uelewa wako nadhani hujui ndio maana umekazania pesa tu.
Ngoja nikusaidie msaidizi limetumika katika kumwelezea Hawa katika kitabu cha Mwanzo likimaanisha kumkinga,kumzunguka,kumsaidia. Hawa aliumbwa kuwa kando ya Adamu kama nusu yake awe msaidizi wake katika kila nyanja ya kimaisha kiuchumi,kijamii,kielimu n.k

Nadhani kidogo umenielewa binti.
 
Anakaa tu ndani hana msaada wowote!!!
Yaani nyie viumbe bwana, kwahiyo msaada wa mwanamke ni kukupa pesa? No wonder.
Sijazungumzia pesa rejea post yangu #52 hapo juu.
 
Unajua tafsiri sahihi ya neno ''msaidizi''? kwa uelewa wako nadhani hujui ndio maana umekazania pesa tu.
Ngoja nikusaidie msaidizi limetumika katika kumwelezea Hawa katika kitabu cha Mwanzo likimaanisha kumkinga,kumzunguka,kumsaidia. Hawa aliumbwa kuwa kando ya Adamu kama nusu yake awe msaidizi wake katika kila nyanja ya kimaisha kiuchumi,kijamii,kielimu n.k

Nadhani kidogo umenielewa binti.
Aliumbwa kwa lengo la kumfariji na kumshauri tu baada ya kuonekana yu mpweke, ukileta chakula tusaidiane kupika,ukijenga tusaidiane kufanya usafi,ukileta pesa nikusaidie kupanga matumizi,nikikuzalia tusaidiane kulea nk. Ule kwa jasho mie nizae kwa uchungu. Hayo mengine mliyaleta nyie baada ya kuona mmeshindwa majukumu yenu.
 
Kumbe unakubaliana nami, hapo mwisho unasema hayo mengine tuliyaleta sie, yapi hayo?
 
Hela ya mwanamke sio yako na usiipigie mahesabu.
Store inatakiwa kujazwa na mwanaume na sio huyo mkeo.
Kama baba anatengeneza 1M na mama anatengeneza 2M basi jua familia ina 1M kwasababu hiyo 2M ya mama sio ya familia. Ni yake.
Bora uwaeleze

Vijana wa kiume wa siku hizi hawajielewi kabisaaaa
 
Ya kutaka pesa zetu.
Sisi hatuna shida na pesa zenu ila tunachohitaji ni ule usaidizi wenu yaani kama bajeti ya familia ni laki 6 kwa mwezi na mm nina laki 4 kama una pesa hizo 2 zilizobaki unamalizia ww hiyo ndio tafsiri sahihi ya msaidizi.
 
We hebu acha balaa!! Huo ni mzigo wako. Lini tulitaka mtusaidie kubeba mimba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom