Someni huo ujumbe wa T-Shirt walizovaa Sugu na Masonga, ni Ujumbe mzito sana.

Kama magazine moja ina ingiza 30bullets. It means jamaa waliomshoot lissu walipiga magazine nzima halafu wakareload wakampiga tena nane. Tukiangalia na time interval......
....Umejuaje kama ilikuwa one magazine from one gun? What if it was from two guns?
 
Huyo Tale alie tajwa na Lissu ni nani ? au huyu nnae mjua mm meneja wa msanii Diamond ? Mwenye jibu anisaidie
 
Kuna conspiracy theories nyingi sana kuhusiana na swala la kupigwa risasi mh.tundu lissu, ila vidole vingi vinanyooshwa (without a doubt ) kwa serikali. It's only the govt. Wanaweza ku-engineer such a plot. Maswali mengi tutajiuliza kwa mfano ilikuaje zile CCTV cameras zikatoweka ghafla? Lakini hili si jambo geni, labda geni kwa nchi yetu. Ila hata hivyo sio geni, since enzi za kolimba, moringe sokoine,dr omar ally juma, etc. Kwa wenzetu wamarekani wanakitu kinaitwa S.A.D *special activities division * ambayo inaconsist political activities group na special activities group. Kiundani zaidi unaweza wenda jukwaa la Intelejensia ukapitia uzi wa mkuu The bold. All in all, kama serikali ingeruhusu private institutions kuengage kwenye uchunguzi wa ilo swala mbona fasta tu jamaa wangepatikana? Sema ndio hivyo, you can't fight with the system, yatakukuta makuu. Point of reference : kubenea, dr.ulimboka etc. Hahah, am just kidding, don't take me seriously. ..
 
Mkuu, kwa wataalamu kabisa wa hayo mambo sitaki kuelezea sana ila ukienda kwenye crime scene, ni rahisi kugundua kwa kumuangalia victim kama shooters walikua wangapi, walikua wanashoot from which angle na kama walikua left or right handed. Am just saying thou.


Makasha ya risasi yaliyookotwa yanaweza kukuambia ni aina ngapi za silaha zilitumika.

Pili gari aliyokuwamo Lisu ukichunguza unaweza kujua ni aina ngapi za silaha zilitumika kwa kuangalia caliba ama ukubwa wa matundi na penetration inaweA kukuambia hata shooter alikua umbali gani
 
Back
Top Bottom