Someni huo ujumbe wa T-Shirt walizovaa Sugu na Masonga, ni Ujumbe mzito sana.

Kama magazine moja ina ingiza 30bullets. It means jamaa waliomshoot lissu walipiga magazine nzima halafu wakareload wakampiga tena nane. Tukiangalia na time interval......
Umejuaje silaha ilotumika ilikuwa SMG (Normal AK47) ? kama walitumia AK47 closes au SKS au AK103, au type56 clone? unless tumeambiwa silaha gani imetumika na pia bullet type yake na tukaona magazine then tunaweza kufanya hitimisho ni 30 round magazine au ni 50 round nk.
 
Mkuu, kwa wataalamu kabisa wa hayo mambo sitaki kuelezea sana ila ukienda kwenye crime scene, ni rahisi kugundua kwa kumuangalia victim kama shooters walikua wangapi, walikua wanashoot from which angle na kama walikua left or right handed. Am just saying thou.
Si ndo maana hawataki kusikia wachunguzi toka nje,taasisi kama SCOTLAND YARD,FBI zikiruhusiwa hazitachukua hata mwezi kuwabaini mabashites.
 
Kama magazine moja ina ingiza 30bullets. It means jamaa waliomshoot lissu walipiga magazine nzima halafu wakareload wakampiga tena nane. Tukiangalia na time interval......
Hapana, ilivyoisha ilitupwa pembeni akachukua mjegeje mwingine, ndio akutumia 8!!
 
Bonge la Msg,ila hayo maandishi wameya design local kichiz full kuyaremba remba kama Kadi ya harusi.

Hiyo ni Strong Msg inataka iandikwe clear na ionekane bila Shida.
 
Kama magazine moja ina ingiza 30bullets. It means jamaa waliomshoot lissu walipiga magazine nzima halafu wakareload wakampiga tena nane. Tukiangalia na time interval......

Mkuu wengine mmezaliwa wabishi toka tumboni, hizo idadi za risasi zimetamkwa na watu wenye mamlaka ya kuthibitisha hayo ambao ni polisi na madakatari. Sasa wewe mwenzetu hebu tuambia hizo risasi nyingine zilimwagwa na nani hapo?
 
Zamani angerusha Ngumi na kutukana hadharani kuonesha hasira zake lakin Sasa kanyooka anaishia kugeuza kifua chake bango la kuonesha hisia zake!

Katiba ibadilishwe Magu aongezewe Muda maana Sasa mpaka wavuta bhangi akili zinarudi Kichwani
Mbadilishie kwenye familia yako, awe anawanini kabisa!!
 
Kama magazine moja ina ingiza 30bullets. It means jamaa waliomshoot lissu walipiga magazine nzima halafu wakareload wakampiga tena nane. Tukiangalia na time interval......

Mkuu,

Majambazi yanaweza kuunganisha magazine 2 kwa kuchoma (welding) zikaingia risasi hata mara mbili ya zile alizopanga mtengenezaji. Siyo lazima silaha iwe standard ili itumike, unaweza kufanya modification to suit your intended usage.
Tunahitaji kuwaza zaidi ya nadharia zilizopo.
 
Zamani angerusha Ngumi na kutukana hadharani kuonesha hasira zake lakin Sasa kanyooka anaishia kugeuza kifua chake bango la kuonesha hisia zake!

Katiba ibadilishwe Magu aongezewe Muda maana Sasa mpaka wavuta bhangi akili zinarudi Kichwani
Nahisi wewe ndo mvuta bangi wa kwanza kwani jela kwa mtoto wa kiume unaogopa ? Pili kamuongezee muda we kwenye familia yako usituchoshe...
SUGU atatoka tu Uroge usiroge
 
Kama magazine moja ina ingiza 30bullets. It means jamaa waliomshoot lissu walipiga magazine nzima halafu wakareload wakampiga tena nane. Tukiangalia na time interval......
Na Je kama alikuwa mmoja na magazine mbili iyo interval ilitoka wapi?
 
Zamani angerusha Ngumi na kutukana hadharani kuonesha hasira zake lakin Sasa kanyooka anaishia kugeuza kifua chake bango la kuonesha hisia zake!

Katiba ibadilishwe Magu aongezewe Muda maana Sasa mpaka wavuta bhangi akili zinarudi Kichwani
Hahahaha
 
Back
Top Bottom