Someni huo ujumbe wa T-Shirt walizovaa Sugu na Masonga, ni Ujumbe mzito sana.

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
26,034
23,881
Someni huo ujumbe wa T-Shirt walizovaa Sugu na Masonga, ni Ujumbe mzito sana.

"38 Bullets... I survived to tell the tale! Please, keep up the fight". Huu ni ujumbe mzito sana kuwahi kutolewa.
FB_IMG_1518102213782.jpg
 
Miaka ya 1980 wake zetu walikuwa wakivaa Kanga zenye. Mipasho kwa maadui zetu!
2018 Wanaume wameiga kwa kuvaa T shirt zenye Mafumbo
Na pia palikua pakitokea mgogoro miaka hiyo ya 198p, wanawake ndo walikuaga wanawamwagia maji ya moto waume zao, sasa wanawake wa 2017 wanatumia fire gun kushoot waume zao au kuteka, kuwatesa kuwatosa baharini!
 
Me and u hatujui mkuu ila kwa knowledge kidogo ya criminology na intelligence kuna blanks zinahitajika kua filled
Maganda 30 ya smg bullets na maganda 8 ya 9mm callibre hand gun.
Umeelewa sasa.
Mtu ali empty magazine nzima, akaona haitoshi....akatoa bastola na kumalizia risasi pia.

Bado zilizompata ni 16 tu....and still...he survived.
 
Kama magazine moja ina ingiza 30bullets. It means jamaa waliomshoot lissu walipiga magazine nzima halafu wakareload wakampiga tena nane. Tukiangalia na time interval......
umefikiri kama alikua mmoja na siraha moja, we kichwa sana

tujifuze kutoka kwako
 
Maganda 30 ya smg bullets na maganda 8 ya 9mm callibre hand gun.
Umeelewa sasa.
Mtu ali empty magazine nzima, akaona haitoshi....akatoa bastola na kumalizia risasi pia.

Bado zilizompata ni 16 tu....and still...he survived.
Mungu mkubwa
 
Back
Top Bottom