Yeth lottah
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 1,406
- 2,227
Hayasomeki ?
Au Leo nimezidisha ganja?
Au Leo nimezidisha ganja?
utakuwa umetoka usingizini sio bureMiaka ya 1980 wake zetu walikuwa wakivaa Kanga zenye. Mipasho kwa maadui zetu!
2018 Wanaume wameiga kwa kuvaa T shirt zenye Mafumbo
Shida kubwa inayotusumbua km taifa ni ujinga wa haraiki.kupokea kila kitu bira haya kukichuja.na kila wanachosema wanaomiliki akili zeetu na ss ndio tunavyoamini.Ccm imeharibu akili za watanzania!!
Inawezekana bunduki 2.Kama magazine moja ina ingiza 30bullets. It means jamaa waliomshoot lissu walipiga magazine nzima halafu wakareload wakampiga tena nane. Tukiangalia na time interval......
Kwahiyo sugu nae Mandela?Mandera kanyena 27years. Mwishow kawa Rais. Shida gani mkuu?
Anaelekea njia ile.Inawezekana bunduki 2.
hata mimi nadhani nimezidishaa..nimeshindwa kuyasoma kabisa hayo maandishiHayasomeki ?
Au Leo nimezidisha ganja?
....Umejuaje kama ilikuwa one magazine from one gun? What if it was from two guns?Kama magazine moja ina ingiza 30bullets. It means jamaa waliomshoot lissu walipiga magazine nzima halafu wakareload wakampiga tena nane. Tukiangalia na time interval......
Kaka, una knowledge kidogo ya silaha?Nani alisema lazima magazine zikae 30
Someni huo ujumbe wa T-Shirt walizovaa Sugu na Masonga, ni Ujumbe mzito sana.
"38 Bullets... I survived to tell the tale! Please, keep up the fight". Huu ni ujumbe mzito sana kuwahi kutolewa.View attachment 692646
Mkuu, kwa wataalamu kabisa wa hayo mambo sitaki kuelezea sana ila ukienda kwenye crime scene, ni rahisi kugundua kwa kumuangalia victim kama shooters walikua wangapi, walikua wanashoot from which angle na kama walikua left or right handed. Am just saying thou.
Kama magazine moja ina ingiza 30bullets. It means jamaa waliomshoot lissu walipiga magazine nzima halafu wakareload wakampiga tena nane. Tukiangalia na time interval......
Unasikia ila una uhakikaSi nasikia walikuta maganda ya aina 2
UnajiaibishaUchochezi na uongo
Hosp nilisoma mahala ni risasi 5 tu chadema walimmiminia..