Somalia yajiunga Uanachama wa Afrika Mashariki (EAC)

Somalia yajiunga Uanachama wa Afrika Mashariki (EAC)

Tukishakuwa na soko la pamoja na sarafu moja Kwa jumuia za kikanda kama EAC tutakuwa tumefika mahali pazuri,jumuia kama umoja wa ulaya Wana sarafu Yao,inayokubalika nchi zote katika jumuia,ukija hapa kwetu Kila mtu ana sarafu yake,Hali hii inadhoofisha biashara miongoni mwa nchi wanachana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini UK waliikataa hiyo sarafu?
 
Bado nchi 2 tu zijiunge kukamilisha zile nchi 10 tupate kanda ya mashariki na sarafu 1 kutumika East Africa Jambo kubwa litatangazwa mbeleni
 
Tusiwe na hofu, tutapata fursa nyingi na watabadilika. Kitendo Cha kuendelea kuwatenga ndicho kinawafanya wawaze vibaya
Hofu kama hiyo iliibuka wakati Rwanda, Burundi na DRC zinajiunga lakini utaona kuwa hakuna shida yoyote
Je wewe unaweza kufanya biashara huko au wengi wetu Vs watu wao kufanya biashara kwetu. wa Tz hatuna Umoja ndio maana tuna aanguka ktk vitu vingi.
 
Labda anataka akimaliza muhula wake akimbilie Somalia kumbuka Zanzibar Mombasa Kilwa Barawa na Mogadishu zilikuwa ni Nchi moja.
Kwani maamuzi ya kupokea maombi ya nchi kujiunga na EAC, yanaamliwa na Rais Samia pekee yake?

Sioni ubaya wa kuwa na wanachama wengi, tatizo kubwa ni namna wananchi wa mataifa ya nchi wanachama, wananufaika vipi.

Mbona Serikali yetu haiwahamasishi wananchi wake kuzitumia fursa zinazopatikana kutokana na EAC?
 
Waliweka kigezo/sharti la ajabu sana, eti nchi yoyote ilipakana na mwanachama wa EAC anaruhusiwa kuomba uanachama. Nionavyo mimi ipo siku hata Ghana utakuta ni mwanachama wa EAC.
Mkuu kuna shida?
 
Community yenyewe hata sioni umuhimu wake, tumeshapoteza malengo tunajiendea tu, naona wazo zuri kwa sasa na habari ya kuuza gazeti ingekuwa ni kuvunja huo muungano kila nchi ijifie kivyake, kwasasa hakuna lolote la maana zaidi ya kugawana umaskini tu

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Tawala katika nchi nyingi za Community ni majanga matupu.
 
Nchi ipo kwenye vita kila uchwao.Halafu ikifika wakati wa free movement ya goods na watu wa EAC si ndo magaidi yatakuja kuishi Tanzania na kupitisha silaha Somalia haikuwa na nafasi kabisa EAC.
 

Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika Jijini Arusha nchini Tanzania, umeridhia Nchi ya Somalia kujiunga na EAC na sasa inakuwa Mwanachama wa nane wa Jumuiya hiyo.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki January Makamba ni miongoni mwa Viongozi waliotoa pongezi za awali kabisa kwa Somalia kuridhiwa kuwa Mwanachama mpya wa EAC ambapo ameitakia kheri Somalia katika kuielewa na kuiishi pamoja na kuitekeleza misingi ya EAC na itifaki zake katika kukuza na kuendeleza Jumuiya hiyo.

Katika hatua nyingine mkutano huo pia umemtangaza Rais wa Sudan, Salva Kiir Mayardit kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Itakumbukwa katika mkutano kama huo mwaka jana aliyekuwa Rais wa Kenya na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo wakati huo, Uhuru Kenyatta alitangaza rasmi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kujiunga na EAC.
Ni jambo jema, tatizo hao al shabaab hawachelewi kuigeuza k koo iwe mogadishu.
Hata magomeni au popote.
Ni kwamba wana mambo yao na mila zao mtu wa kawaida huwezi kufata.
Tukiwauliza wakenya huko wasomali wana mji wao kabisaa.
Tukiacha hayo,mpenzi wangu wa kwanza Noorie msomali yule aisee mapenzi ya utotoni raha sana,ndio alinionyesha,ingiza hapa,shika hapa ,nitekenye huku
Yaani yule ningempata leo angejuta kuzaliwa.
 
Hivi shabaha (objectives) za EAC ni zipi,na je ukomo no wanachama wangapi,mwishowe na nchi Kama sudani,Eritrea,comoro na Egypt zitaomba zote ziko east hizo,Nini hasa malengo ya EAC?
 
Back
Top Bottom