imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,436
Kwanini yeye asijitoe EAC kama alikuwa ni Mwamba.kuua Biashara wakati Taifa lako linategemea kodi ni Urobin Hood wa kijinga.JPM alikuwa jambazi asante Mungu .
Kwanini yeye asijitoe EAC kama alikuwa ni Mwamba.kuua Biashara wakati Taifa lako linategemea kodi ni Urobin Hood wa kijinga.JPM alikuwa jambazi asante Mungu .
Daa umenifanya nikasome hao jamaaMkuu katika soma soma yangu ya Historia ya Pembe ya Afrika nimeshangazwa sana kumbe Wafalme wa Kihabeshi walitaka kuvamia Wasomali na kuwalazimisha wawe Wakristo lakini wakakutana na Morani wa Himaya ya Wageledi na wakaambulia kichapo 😂😂 na kurudi makwao aisee...hilo eneo ni korofi sana
View attachment 2824786
Morani wa Himaya ya Wageledi.
View attachment 2824791
Negus Emperor Menelik2 wa Ethiopia kumbe alipokea kichapo kutoka kwa Wageledi.
Unajua pia Wareno walikiona chamoto walipovamia Barawa.Daa umenifanya nikasome hao jamaa
Unajua wasomali ni kama mnyama Duma kumfuga au kutawala ni kazi ngumu sana
Mataifa mengi yameshindwa hata wakati wa vita vya Dunia na hata kabla
Ila Asante kwa kuniongezea elimu kwani umenipeleka mpaka Afgooye Somalia
Nimejifunza vingi ingawa nimewahi kutembea mpaka Mogadishu kwa kuongeza matembezi yangu tu
Hawa jamaa ni wapole ila hawana ujinga na huwezi kuwaonea
Hatujasahau Black Hawk Down pia jinsi .mmarekani alivyoamua kukimbia
Toa darasa mkuuUnajua pia Wareno walikiona chamoto walipovamia Barawa.
Wareno walipofanikiwa kuiteketeza Kilwa na Zanzibar wakaiteka na Mombasa lakini walipofika Barawa wakakutana na Morani wa Kisomali wakashindwa kuiteka Pwani ya Somalia iliyokuwa chini Ajuraan Sultanate.
Wakapokea kichapo na kukimbila Oman na India ambako waliziteka Ngome za Kihindi kwa urahisi.
Point yako ya mwisho hii ina kitu cha msingi sana. Wazungu kuna kitu wanakitafuta hapo kupitia mwamvuri wa EAC.Kenya Uganda na Tanzania mmetengeneza bomu la nuklia
Why Somalia ? Hawaongei Kiswahili wakatili, wanauana kama kuku but Why?
Watolewe ASAP
Watawala msifanye kuwafurahisha wadhungu. Hii decision itawacost
Duh!Somalia na Sudan ziko kwenye Arab League wakati wao sio Waarabu, Waarabu halisi waliohamia Sudan kutoka Syria na Hejaz hawazidi 5% kuhusu hao ndugu zetu waliopelekwa utumwani wanatambua kuwa wao sio Wazungu bali ni Waafrika rejea "African Americans" lakini Wasudani na Wasomali asilimia kubwa wanadai kuwa wao ni Waarabu je unalijua hilo.
Unajua Watumwa wengi walipelekwa Uarabuni kuliko Marekani lakini leo wako wapi wengi walihasiwa ili wasiwanajisi wasichana wa Kiarabu.
Huu ni wakati wa Mwafrika kuamka kutoka usingizini.
Sijui kama madhumuni ya mwanzo ya kuwa na jumuia hii yalilenga haya mapya yanayojitokeza sasa.Kenya Uganda na Tanzania mmetengeneza bomu la nuklia
Why Somalia ? Hawaongei Kiswahili wakatili, wanauana kama kuku but Why?
Watolewe ASAP
Watawala msifanye kuwafurahisha wadhungu. Hii decision itawacost
Mkuu huyu Raisi wa sasa wa Somalia Hassan Shekh Mohamud amewadhibiti Alshabaab kwa kiasi kikubwa anastahili apewe Maua yake.Daa umenifanya nikasome hao jamaa
South Sudan hawaongei Kiswahili na wanauwana vilevile.Kenya Uganda na Tanzania mmetengeneza bomu la nuklia
Why Somalia ? Hawaongei Kiswahili wakatili, wanauana kama kuku but Why?
Watolewe ASAP
Watawala msifanye kuwafurahisha wadhungu. Hii decision itawacost
Kimsingi, jumuia zoote africa, kwa %kubwa wazungu ndio wafadhili. Sasa wafadhiri hawa wanaangalia jumuia yenye faida kwao.Sijui kama madhumuni ya mwanzo ya kuwa na jumuia hii yalilenga haya mapya yanayojitokeza sasa.
Maoni yangu ni kuwa kadri ya kujipanua zaidi na kuongeza wana chama holela, hiyo ndiyo njia rahisi ya kufifisha madhumuni yaliyolengwa toka mwanzo.
Hata hivyo, haya mambo yanachanganya sana. Tunazo COMESA, SADC, na tunakazania AfCFTA; yote haya ni kama malengo ni yale yale. Sasa sijui tena kujiunga na moja na kutokuwa katika nyingine zinatunyima au kutuongezea kitu gani?
Hivi tunazo bidhaa nyingi tunazozalisha hapa na tumekosa soko la kuziuzia bidhaa hizo?
Mbona AGOA hatuuzi chochote huko?
Haswa tena ajengewe na sanamu lake huyu professor maana amejitahidi sana.Mkuu huyu Raisi wa sasa wa Somalia Hassan Shekh Mohamud amewadhibiti Alshabaab kwa kiasi kikubwa anastahili apewe Maua yake.
View attachment 2824856
Hebu kwanza mkuu! Hili la akina Rage halikufikirishi zaidi?Mbona tunao akina Rage wakulugo.