Somalia yajiunga Uanachama wa Afrika Mashariki (EAC)

Somalia yajiunga Uanachama wa Afrika Mashariki (EAC)

Kwa hiyo hapa wewe unadhani umeweka mchango muhimu sana katika kumfahamisha hayo malengo?

Haitashangaza hata kidogo endapo wewe mwenyewe hujui hata moja!
Yaani mada niisome miaka mitano sekondari na mmoja chuo kikuu(sheria), bado vyombo vya habari vinatangaza kila kukicha halafu leo nisijue?

Kama mtu hujui malengo ya EAC basi hata hapa JF huwezi kuelewa iwapo utaeleweshwa.

Hata ku-goolgle huwezi?
 
Hata wewe mwenyewe kumweleza tu huyo asiyejuwa huwezi? Hilo ndilo swali la msingi ulilopaswa kulijibu ulipo soma ujumbe wangu.
Tabia hii ni kikwazo kikubwa sana kwa hizi shule zetu za kiTanzania. Wewe unaposoma, na kudai umeyajuwa hayo uliyo fundishwa, halafu ukashindwa kabisa kuyatumia, au hata kuyaelezea ili na wasioyajuwa wayajue, hili ni tatizo.
Wakati huo huo, unakuja hapa tena na kujidai juu ya kitu ambacho mwenyewe huwezi kukieleza kwa wengine!

Hadi hapo kasumba hii itakapotutoka akilini, sisi tutakuwa ni taifa la majigambo tu, huku vitendo vikiwa ni sufuri.
 
Huyu mama anajikombaga kwa waarabu na wasomali..ushamba na ulimbukeni na kukutojikubali..yaani anawatetemekea mpaka aibu
Sasa anajikombaje mkuu kwani hayo maamuzi ya kuwaingiza Somalia EAC kayafanya pekeyake?
KAMA HUNA ELIMU NA JAMBO FULANI JARIBU KUKAA KIMYA!
 
Back
Top Bottom