Somalia yajiunga Uanachama wa Afrika Mashariki (EAC)

Somalia yajiunga Uanachama wa Afrika Mashariki (EAC)

Tusiwe na hofu, tutapata fursa nyingi na watabadilika. Kitendo Cha kuendelea kuwatenga ndicho kinawafanya wawaze vibaya
Hofu kama hiyo iliibuka wakati Rwanda, Burundi na DRC zinajiunga lakini utaona kuwa hakuna shida yoyote
Kabisa kweli kwa upande mwingine ndo soko la bidhaa hasa chakula na ikiwa tanzania mzalishaji mkubwa
 
DYV2cDyW4AEmsOD.jpg

Karibuni ndugu zetu Wasomali ila achaneni na Hijabu.
 
159967777_111434694237811_4538366324780073652_n.jpg

Bila mahijabu na mabaibui hawa jamaa ni kama Watutsi na Wahima.

Maushungi ya Kiarabu ndio huwa yanawafanya kama watu wa Ghuba ya Uajemi.
 
Mbona Kasulu zimejaa mkuu na jirani ndio walianzisha utekaji wa mabasi kwa silaha za moto? Mpaka wakala na mitaa ilikuwa inafungwa na hao wenye roho mbaya kuliko wariya?

Kuna sehemu unabadilishiwa AK47 kwa gunia la mahindi
Hao watoto wa baba muwatumie kwa vita tu, ila sio waizi wa mpesa hao
Labda Meli
 
Mbona Kasulu zimejaa mkuu na jirani ndio walianzisha utekaji wa mabasi kwa silaha za moto? Mpaka wakala na mitaa ilikuwa inafungwa na hao wenye roho mbaya kuliko wariya?

Kuna sehemu unabadilishiwa AK47 kwa gunia la mahindi
Hao watoto wa baba muwatumie kwa vita tu, ila sio waizi wa mpesa hao
Labda Meli
Hofu yangu ni Majahazi yaliyojaa Wasomali na Bunduki yakatie nanga Zanzibar😂 kabla ya Uchaguzi ujao chuki iliyopo Zanzibar inahitaji Spark ndogo tu Kisiwa kinarudi kwa wenyewe🫡
 

Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika Jijini Arusha nchini Tanzania, umeridhia Nchi ya Somalia kujiunga na EAC na sasa inakuwa Mwanachama wa nane wa Jumuiya hiyo.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki January Makamba ni miongoni mwa Viongozi waliotoa pongezi za awali kabisa kwa Somalia kuridhiwa kuwa Mwanachama mpya wa EAC ambapo ameitakia kheri Somalia katika kuielewa na kuiishi pamoja na kuitekeleza misingi ya EAC na itifaki zake katika kukuza na kuendeleza Jumuiya hiyo.

Katika hatua nyingine mkutano huo pia umemtangaza Rais wa Sudan, Salva Kiir Mayardit kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Itakumbukwa katika mkutano kama huo mwaka jana aliyekuwa Rais wa Kenya na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo wakati huo, Uhuru Kenyatta alitangaza rasmi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kujiunga na EAC.
Hawa hawa Wasomali katili na hatari wanaofanyia watu ghilba na kuwapeleka utumwani hadi leo?!
 
Back
Top Bottom