Somalia yajiunga Uanachama wa Afrika Mashariki (EAC)

Kikwete kwenye utawala wake ndio alieshawishi nchi nyingi kujiunga EAC, congo, zambia, malawi, somaria, nk.
Malawi pekee wakati ule ndio ilikataa kwa asiimia 100 kujiunga. Zingine hazijasema wazi juu ya kujiunga au kutojiunga.
 
Hawa hawa Wasomali hatari wanaofanyia watu ghilba na kuwapeleka utumwani hadi leo?!
Al Shababu ni kikundi cha Magaidi lakini kimezidiwa kiko mbioni kutoweka na Amani inarejea kwenye Taifa hilo la Wafugaji.
 
Kikwete kwenye utawala wake ndio alieshawishi nchi nyingi kujiunga EAC, congo, zambia, malawi, somaria, nk.
Malawi pekee wakati ule ndio ilikataa kwa asiimia 100 kujiunga. Zingine hazijasema wazi juu ya kujiunga au kutojiunga.
Ningependa Ethiopia Eritrea na Djibouti nao wajiunge halafu tutengeneze Sarafu yetu moja itakuwa Bomba sana.

Inakuwa unatoka Kigali hadi Tigrai unapeleka magunia yako ya Maharage.
 
Ningependa Ethiopia Eritrea na Djibouti nao wajiunge halafu tutengeneze Sarafu yetu moja itakuwa Bomba sana.

Inakuwa unatoka Kigali hadi Tigrai unapeleka magunia yako ya Maharage.
Tatizo watanzania ni mabingwa wa kushawishi wengine kujiunga na muungano, lakini wanasahau kuelimisha watu wao kuhusu fulsa za muungano wenyewe.
Ndio maana siku zote tunapitwa na kudidimizwa kiuchumi na nchi tunazozifundisha.
 
Hata huu Muungano wetu wa kienyeji wa Tanganyika na Zanzibar ukiangalia vizuri wafaidika wakuu ni Wazanzibari labda sisi tumeumbwa na nyota ya kusindikiza wenzetu.

Lakini kwasababu sisi ni Wakulima na tunajiunga na Nchi zenye uhaba wa Mvua na Chakula huu ndio wakati wa kupiga mzigo.

Na ni wakati sasa tunze kulima Mirungi kwa ajili ya masoko ya Somalia.
 
Hata huu Muungano wetu wa kienyeji wa Tanganyika na Zanzibar ukiangalia vizuri wafaidika wakuu ni Wazanzibari labda sisi tumeumbwa na nyota ya kusindikiza wenzetu.

Lakini kwasababu sisi ni Wakulima na tunajiunga na Nchi zenye uhaba wa Mvua na Chakula huu ndio wakati wa kupiga mzigo.
Hiki kilimo chetu hakina tija.tunalima kizamani mazao hata yakiwepo shambani hakuna miundomninu mizuri na rahisi kusafirisha.
Hatuna viwanda na maghala ya kuhifadhi vyakula vyenye uwezekano wa kukaa mda mfupi kufanya vikae muda mrefu, tunachoweza kuhifadhi ni nafaka tu.
Wakati wendetu kenya tu wanatuuzia mchicha supermarkt. Yaani sisi watanzania bado.
Hata asari kusafirisha hadi wakuliama wawauzie wakenya. Wakenya ndio wanaweza kuipakadge na kuuza nje.

Sisi tuna matatizo mkuu.
 
Watanzania wakijua kuwa uhuru wa nchi yao pamoja na sheria za nchi yao utakuwa chini ya hii jumuia ndipo hapo itakuwa too late.

Na tukipata raisi muelewa kama JPM atatutoa huko kwenye kundi la wasiojitambua. Yani nchi maskini zimejikusanya pamoja kwa amri ya world economic forum Claus shwab ndiyo anawaamrisha tuta toka huko ngoja tupate mwamba

Mbona Magufuli aliwahi kuwa mwenyekiti wa EAC.
 
3d0bf06c669e2ce2c8a73748e6fa0624.jpg

Wanapenda sana Mirungi angalia alivyofurahi.
 
Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika Jijini Arusha nchini Tanzania, umeridhia Nchi ya Somalia kujiunga na EAC na sasa inakuwa Mwanachama wa nane wa Jumuiya hiyo.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki January Makamba ni miongoni mwa Viongozi waliotoa pongezi za awali kabisa kwa Somalia kuridhiwa kuwa Mwanachama mpya wa EAC ambapo ameitakia kheri Somalia katika kuielewa na kuiishi pamoja na kuitekeleza misingi ya EAC na itifaki zake katika kukuza na kuendeleza Jumuiya hiyo.

Katika hatua nyingine mkutano huo pia umemtangaza Rais wa Sudan, Salva Kiir Mayardit kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Itakumbukwa katika mkutano kama huo mwaka jana aliyekuwa Rais wa Kenya na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo wakati huo, Uhuru Kenyatta alitangaza rasmi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kujiunga na EAC.
Hii jumuiya ni debe tupu...
 
Back
Top Bottom