Katika Quran kuna aya inasema kuwa mayahudi na manasara wataingia peponi. Sasa ukiniambia kuwa ukiniletea hii aya basi nikubali kuwa myahudi au nasara itakuwa ni ujinga. kwa sababu hujui nini kimesemwa, hujui context nzima ikoje.Ikiwa kweli Allah kasema kwamba atawaziba watumioyo , machona masikio, ili wasimjue, na hawa msihangaikenao, na kisha atawahukumu kwa kutomjua, utakubalikwamba huyo Allah si Mungu ni hadithi za watu tu?
Tukubalianehilo kwanza, kabla sijaleta aya.
Nisije kuleta aya ukanibadilishia kibao hapa.
Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote, anawezaje kumzuia kiumbe wake asimjue huyo Mungu, kisha akamuadhibu huyo kiumbe kwa kutomjua yeye Mungu?Katika Quran kuna aya inasema kuwa mayahudi na manasara wataingia peponi. Sasa ukiniambia kuwa ukiniletea hii aya basi nikubali kuwa myahudi au nasara itakuwa ni ujinga. kwa sababu hujui nini kimesemwa, hujui context nzima ikoje.
Sasa wewe lete hio aya tuianalyze.
Hivi kwa akili zako finyu, Mungu kuadhibu ndio sababu ya kuwa hayupo?
Tunasubiri hio aya tuione hapa....
Mbona we mara nyingi unakosea mifano yako? haina maana kabisa.Umeshajikita kwenye "muumbaji" kabla ya kuwa na ushahidi wowote kwamba kuna "muumbaji".
Nikama umekuta janila muembe limeanguka mlangoni mwako, limepeperushwa na upepo kutoka kwenye mti.
Halafu unaanza kuuliza "aliyelileta jani hili mlangoni mwangu ninani?"
Kama vile ushajua jibu lazima litakuwa kwenye mtu/ kitu chenye uhai na utashi wa kuleta jani kwenye mlango wako.
Wakati janilinawezakuwa limepeperushwa na upepo tu.
Sualazima la "muumbaji" limetokana na fikra zenye msingi mbovu kama huo.
Aaha sawa. Masuala ya Mungu yanahusu imani kama hutaki imani unataka kujua tu haiwezekani, nomino yenyewe ( Mungu ) ni dhahania. Haiwezekani kumhusisha Mungu bila imani, nje ya imani hakuna Mungu. Mungu yupo tu ukiamini. Mimi naamini uwepo wa Mungu na yeye ndio mjuzi zaidi. Inaingia akilini kuamini kwamba Mungu yupo. Ila kama huamini ni vigumu au haiwezekani kabisa kumjua Mungu. Labda ipo siku utajua mjomba inshallah.Mpwa mimi sitaki kuamini, nataka kujua.
Lete aya... naona hadi sasa hujaleta aya... unazunguka mbuyu tu. Mi nasubiri hio aya tu niioneMungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote, anawezaje kumzuia kiumbe wake asimjue huyo Mungu, kisha akamuadhibu huyo kiumbe kwa kutomjua yeye Mungu?
Yayumkinika hiyo habari?
Unapouliza "je ulimwengu unaye muumbaji?" unauliza swalilile lile "je jani lina aliyelileta mlangoni?".Mbona we mara nyingi unakosea mifano yako? haina maana kabisa.
Jani nikilikuta mlangoni kwangu sio lazima niseme nani kalileta, kwa sababu zipo possibilities tofauti. Nitafikiria upepo kwanza kabla ya mtu kwa sababu kama kuna mti au miti karibu inawezekana kuwa hilo jani limeletwa na upepo tu.
Hapo umedhihirisha kuwa una akili finyu ndugu... mawazo yako ni madogo mno, na ndio maana ukafananisha Mungu alokuwa sio kiumbe, na pembe tatu. Mfano bogus na ulofeli kabisa.\
Nimekuuliza swali simple kabisa, Je ulimwengu unae Muumbaji? Sasa kama hauna Muumbaji unasema tu "hauna Muumbaji" kama unae unasema "yupo Muumbaji". Hebu basi tuone jibu lako
Kwaio suali ili liwe sahih liulizwe vipi?Unapouliza "je ulimwengu unaye muumbaji?" unauliza swalilile lile "je jani lina aliyelileta mlangoni?".
Ila kwa sababu unatumiamantikifinyu, huoni hilo.
Unaweza kuamini kitu mbacho hakipo kipo?Aaha sawa. Masuala ya Mungu yanahusu imani kama hutaki imani unataka kujua tu haiwezekani, nomino yenyewe ( Mungu ) ni dhahania. Haiwezekani kumhusisha Mungu bila imani, nje ya imani hakuna Mungu. Mungu yupo tu ukiamini. Mimi naamini uwepo wa Mungu na yeye ndio mjuzi zaidi. Inaingia akilini kuamini kwamba Mungu yupo. Ila kama huamini ni vigumu au haiwezekani kabisa kumjua Mungu. Labda ipo siku utajua mjomba inshallah.
Kwanza umekubali na kuelewa kwamba swali lililoulizwa awali si sahihi?Kwaio suali ili liwe sahih liulizwe vipi?
Swali liloulizwa ni sahih kwa asilimia 100? na hata wanasayansi wanajiuliza swali hilo hilo.Kwanza umekubali na kuelewa kwamba swali lililoulizwa awali si sahihi?
Ndio ninaweza kuamini. Msingi wa imani hautoi nafasi ya kujua kama kitu hakipo.Unaweza kuamini kitu mbacho hakipo kipo?
Asilimia 100 unaijua? Asilimia 100 ya nini?Swali liloulizwa ni sahih kwa asilimia 100? na hata wanasayansi wanajiuliza swali hilo hilo.
Jibu Swali, Ulimwengu una Muumbaji au Hauna?
Mimi nasema Ulimwengu una Muumbaji, Je wewe unaamini kuwa ulimwengu una Muumbaji?Asilimia 100 unaijua? Asilimia 100 ya nini?
Nakwambia hivi, swali lako lina a priori fallacy. Halafu a priori fallacy imetengeneza logical non sequitur fallacy.
Yani nikama vile umefikiri kwamba inawezekana kuna CHADEMA wanaompinga Magufuli, mimi nampinga Magufuli, kwa hiyo mimi nilazima nitakuwa CHADEMA.
3.1a
The a priori - fallacy occurs when someone decides ahead of time what the conclusion to an argument is, then only considers evidence that supports that conclusion, or twists what evidence there is to support the predetermined conclusion.
For example, in the early 1950's during the Communist "witch hunts" some people determined ahead of time that communists were in sensitive positions in the government. If a government agency did something the anti-communists disapproved of, they took it as proof of the communist infiltration. If a government employee disagreed with the anti-communists, that was evidence the employee was a communist. Accused persons were often given little chance to defend themselves because, after all, they would just lie. If an accused person denied being a communist that was proof he was a communist because, of course, a communist agent would deny being one. The investigator's minds were made up ahead of time and they would not be swayed by evidence.
Ndio ninaweza kuamini. Msingi wa imani hautoi nafasi ya kujua kama kitu hakipo.
Mimi nasema Ulimwengu una Muumbaji, Je wewe unaamini kuwa ulimwengu una Muumbaji?
Mimi naamini Ulimwengu una Muumbaji, nataka kujua msimamo wako juu ya ulimwengu, je una muumbaji au hauna muumbaji?Unaweza kuthibitisha kwamba kauli yako si a priori fallacy?
Mkuu umeshindwa kuweka maelezo yako vizur nafkiri ni hadithi unazoziskia kutoka kwa watu kuhusu mahala flani na wew ukaamini.Somalia umeenda mbali sana. Mbona haya mambo yanafanyika sana hapo Zanzibar na waarab kutoka Oman.
Wanapofika Zanzibar hupatiwa wasichana mabikra na kuwaoa kwa muda kwa matumizi ya NGONO. Muda wao unapoisha huondoka zao na kuacha watoto wa kike wakitaabika na familia zao.
Zanzibar kuna Mawakala kabisa wa kutayarisha hizo ndoa fake.
Kwanini swaliliwe "una muumbaji" ?Mimi naamini Ulimwengu una Muumbaji, nataka kujua msimamo wako juu ya ulimwengu, je una muumbaji au hauna muumbaji?
Huwa sikurupuki na sibishani na watu wa aina yako mkuu!Mkuu umeshindwa kuweka maelezo yako vizur nafkiri ni hadithi unazoziskia kutoka kwa watu kuhusu mahala flani na wew ukaamini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini swaliliwe "una muumbaji" ?
Kwaniniunauliza swali kutoka mtazamowa "muumbaji"?
Swalihili linatokana na ufinyu wa mawazokwamba ulimwengu nilazimauanzishwe na "muumbaji", habarihiziunazipata wapi, umejiridhishaje kwamba zina usahihi?
Umesema unataka kujua msimamo wangu.
Msimamo wangu ni.
1. Maswali yasijibiwe kwa imani
2. Maswali yachunguzwe na kujibiwa kwa ujuzi
3. Habari za kuwepo Mungu ni imani, si ujuzi
4. Habari hizi zichunguzwe, zipimwe, zihakikiwe
5. Hiki ndicho ninachofanya hapa