Somalia kuna vocation marriage

Somalia kuna vocation marriage

Usipomuuliza mtoto wako wa miaka minne maswali ya integration ya calculus ambayo hawezi kuyajibu, hilo maana yake umempa uwezo wa kujibu maswali yote ya hesabu?

Tatizo huwezi kufikiri kwa mantiki ndogo tu.

Unachanganya mambo.

Unafikiri dhana ya Mungu kutompa mtu maswali ambayo hawezi kuyajibu, maana yake ni kumpa mtu uwezo wa kujua majibu ya maswali yote.

Umechanganya madawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usipomuuliza mtoto wako wa miaka minne maswali ya integration ya calculus ambayo hawezi kuyajibu, hilo maana yake umempa uwezo wa kujibu maswali yote ya hesabu?
Yaani unavojifanya mjuaji ndio umeona mfano wa kutoa huu? Hio mantiki yako unayoiona kubwa nna wasiwasi nayo kweli.

Labda mie nikuulize, kwani wewe ulitaka aweze kujibu maswali yote ya hesabu au mengine asiweze kuyajibu?
 
Umeelewa nilichoandika?

Una wasiwasi na mantiki niliyoandika wapi?

Unachanganya dhana ya Mungu kutompa maswali asiyoweza kuyajibu mtu na dhana ya mtu kuwa na majibu yote.

Mungu akimpa mtu uwezo wa kujua three dimensions tu, asijue the fourth to the eleventh dimensions, mtu akashindwa hata kuuliza maswali ya hizo extra dimensions, hilo linamaanisha mtu hatakuwa na maswali ya hizo extra dimensions.

Hilo halina maana kwamba hizo dimensions hazitakuwepo, au mtu atakuwa na majibu yote ya hizo dimensions.

Umeelewa hilo?

Unaelew kwamba unachanganya mawili hayo?

Moja ya tatizo la Atheist, hamjui ni nini mnataka. Umejaribu kutoa mfano wa mtoto wa miaka minne, ukamention specific topic, mwenyewe ukaona umetoa bonge la mfano. tukiuchukua huo mfano wako na ulichosema sasa,

Asingeruhusu mtu kuwa na maswali asiyoweza kuyajibu. Hapa hukuspecify, swali gani kwanza.

Swali linaulizwa ukitaka Kujua kitu. Ila kama hutaki kujua kitu, utaulizaje swali?

Ikiwa Mwalimu hataki kujua uwezo wako wa hesabu, je atakuuliza swali?

Mfano wako wa kuw "Mungu akimpa mtu uwezo wa kujua dimension 3, lakini hajui 4th to 11th..." ni mzuri sana Wallah. Kwa sababu, kwanza, inathibitisha Limitation ya mtu, tukijaalia hizo dimension zipo lakini mtu hazijui wala hajawahi kufikiria icho kitu, basi hapa ndio tunasema kuwa Mungu ndio Mjuzi wa yote.

Wewe point yako ni kuwa Mungu asingempa maswali ambayo hawezi kujibu.... labda nikuulize mfano wa hilo swali ni lipi?
 
Nikuulize mfano wa kitu ambacho sikijui?

Hivi unajua kusoma wewe?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Uliza swali ambalo huna jibu lake?

Swali lako la kuthibitisha Mungu yupo limejibiwa zamani, wala hukuwa na uwezo wa kulirefute. Maana hadi leo umeshindwa kuelezea unachokiamini.

Unaniuliza mimi kama najua kusoma au hilo swali ujiulize wewe? Ungekuwa unajua kusoma mbona ungekuwa ushatolea ufafanuzi wa maswali ambayo mwezi mzima nimekuwa nakuuliza lakini unashindwa kuyajibu? 😀

Vipi nakukumbushia, nlikuwa nataka kujua msimamo wako Ulimwengu ulitokeaje out of nowhere?
 
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, dunia hii isingekuwa na baya lolote.

Uwepo wa mabaya katikadunia hii, kifo, matetemeko, tsunamis etc, unathibitisha Mungu huyo hayupo.

Angekuwepo, asingeuumba ulimwengu huu kwa ukatili hivyo ukawa na mabaya hayo yote.

Mungu huyo katungwa tu na watu katikakupambana na mazingira yao duniani.

Kipi kigumu kuelewa hapo?

Nikikwambia sijui square root ya 2 ni nini, lakini najua si 10, kwa sababu square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2, utakubalihilo jibu kama likosawa?
 
Mungu mjuzi wa yote na mwenye upendo wote yupo.

Asingekuwepo, ulimwengu usingekuwepo.

Haiwezekani, mtu awe alivyo kama hakuumbwa na Mungu, Haiwezekani kuwe hakuna Mungu akisha mtu kwa bahati mbaya ahitaji macho kuona, masikio kusikia, miguu kutembea, mikono kushika, ngozi kuhisi n.k, bila Mungu hivi vitu haviwezekani kuwepo.

Mungu anaupendo, na ndio maana akaweka guidelines watu wazifuate, kutozifuata haimaanishi kuwa Mungu hayupo, kuwepo kwa division Zero mashuleni haimaanishi kuwa hakuna elimu.

Uwepo wa kifo, ni ushahidi wa uwepo wa Mungu, kwa sababu katika Quran amesema kuwa yeye ndio wa milele, hivo mtu hawezi kuwa wa milele, LAZIMA AFE! kuwepo kwa matetemeko, nayo ni ushahidi wa uwepo, kwani bila ya hizi events, dunia isingetosha, ( FYI: Hata wanasayansi wanatambua kuwa hizi events ni essential for life cycle of the earth) uwepo wa mabaya nayo ni ushahidi wa uwepo wake, kwa sababu amesema kuwa Muovu ataadhibiwa na mwema atazawadiwa mazuri. Na pia hoja yako hii ni dhaifu, kama unaamini uwepo wa mazuri basi ndio uwepo wake, bila shaka mazuri yapo mengi duniani! 🙂

Fikra ya uwepo wa muumbaji ni fikra ambayo ni halisi na hikutungwa. Anything complex must have a creator, na kama hakuna creator, then nothing can exist. Ushahidi wa hili upo mbele ya macho yako, nikikwambia simu unayotumia haina mtengenezaji utanibishia, tena vipi ukatae ulimwengu uliopo perfect ukose muumbaji?

Tambua kuwa, Mungu amabe sio kiumbe, hafananishwi na Square root, wala pembe tatu, katika kuthibitisha uwepo wake, mifano yako hii marufu ni batil.

Mungu mwenye upendo wote - Mungu ambae anakupa hewa ya Oxygen uvute bure ili uishi, hospitali unalipia. Mungu amekujaalia wanyama na miti kwa ajili ya uwepo wa mtu, je huu sio upendo? Mungu anaeleta Neema duniani, Mvua, chuma na madini mengine ambayo leo hii unayatumia kujinufaisha akisha unasema kuwa mungu hayupo?

Ingekuwa Mungu hayupo, tena what is the purpose of life? Hivi wewe inaingia akili kuwa hapa dunia mtu anakudhulumu, anakuibiwa na kukutesa, unataka kunambia kuwa ukifa basi ndio hamna kitu kwako uldhulumiwa na kuteswa?

Unaweza kuelezea ulimwengu umewezaje kuwa in a perfect order kupitia coincidence?

Ikiwa Unaamini kuwa sisi tulikuwa vijidudu tu hapo mwanzo, hivo vijidudu vilianzaje kujitengeza kwenye mme na mke? vilijuaje kuwa vitahitaji mdomo kula na ass kunya? vilijuaje hivo whatever you call them kuwa vitahitaji miguu, kwanini viligeuka kuwa mtu na sio nyoka? au kwanini sote hatukuwa one animal ila tumetofautiana?

Kama hakuna Muumbaji kwanini basi hatuoni mtu akitokea nje ya njia za uzazi, kama vile umekaa maskani tu, out of nowhere unamuona mtu anaanza kuform?

Mungu ndio Mjuzi wa yote, yeye kama Muumbaji, basi yeye ndio mwenye kujua kila kitu, hakuna kilichojificha kwake. Mtu uwezo wake wa kufikiri au kuchambua mambo unakikomo, na before Bing Bang hawezi kujua chochote kile, lakini Mungu mjuzi wa yote ndio mwenye kujua.

Kiufupi;

- ANYTHING COMPLEX MUST HAVE A CREATOR. Ukipinga Hili basi thibitisha vipi hicho kitu complex kitakuwa hakina muumbaji and how it came to being.
 
Acha kupotosha.
Hakuna uislamu wa kuoa leo na kuacha kesho.
No research no right to speak

Mastermind
Wewendiye unatakiwa kupinga kwa pointna sikwa kukanusha jumlajumla, angalau mimi nimekuwekeahiyo link, unatakiwa kuipinga hiyo link, usemehuu si Uislamu kwa sababu hii, kwa sababu Mtume alisema hivi, kwa sababu aya hii ya Quran ilisema hivi.

Sasa wewe unasema no research, no right to speak, halafu hapo hapo unavunja sheria yako mwenyewe kwa kusema jambo bila kutuonesha research yako inakuruhusu vipi kusema?

Unakuwa mnafiki.

Unafungwa na sheria yako mwenyewe.

Kama kweli "no reasearch, no right to speak" tuoneshe basi reasearch yako inayokupa uwezo wa kusema hakuna Uislamu huo.
 
Mungu mjuzi wa yote na mwenye upendo wote yupo.

Asingekuwepo, ulimwengu usingekuwepo.

Haiwezekani, mtu awe alivyo kama hakuumbwa na Mungu, Haiwezekani kuwe hakuna Mungu akisha mtu kwa bahati mbaya ahitaji macho kuona, masikio kusikia, miguu kutembea, mikono kushika, ngozi kuhisi n.k, bila Mungu hivi vitu haviwezekani kuwepo.

Mungu anaupendo, na ndio maana akaweka guidelines watu wazifuate, kutozifuata haimaanishi kuwa Mungu hayupo, kuwepo kwa division Zero mashuleni haimaanishi kuwa hakuna elimu.

Uwepo wa kifo, ni ushahidi wa uwepo wa Mungu, kwa sababu katika Quran amesema kuwa yeye ndio wa milele, hivo mtu hawezi kuwa wa milele, LAZIMA AFE! kuwepo kwa matetemeko, nayo ni ushahidi wa uwepo, kwani bila ya hizi events, dunia isingetosha, ( FYI: Hata wanasayansi wanatambua kuwa hizi events ni essential for life cycle of the earth) uwepo wa mabaya nayo ni ushahidi wa uwepo wake, kwa sababu amesema kuwa Muovu ataadhibiwa na mwema atazawadiwa mazuri. Na pia hoja yako hii ni dhaifu, kama unaamini uwepo wa mazuri basi ndio uwepo wake, bila shaka mazuri yapo mengi duniani! 🙂

Fikra ya uwepo wa muumbaji ni fikra ambayo ni halisi na hikutungwa. Anything complex must have a creator, na kama hakuna creator, then nothing can exist. Ushahidi wa hili upo mbele ya macho yako, nikikwambia simu unayotumia haina mtengenezaji utanibishia, tena vipi ukatae ulimwengu uliopo perfect ukose muumbaji?

Tambua kuwa, Mungu amabe sio kiumbe, hafananishwi na Square root, wala pembe tatu, katika kuthibitisha uwepo wake, mifano yako hii marufu ni batil.

Mungu mwenye upendo wote - Mungu ambae anakupa hewa ya Oxygen uvute bure ili uishi, hospitali unalipia. Mungu amekujaalia wanyama na miti kwa ajili ya uwepo wa mtu, je huu sio upendo? Mungu anaeleta Neema duniani, Mvua, chuma na madini mengine ambayo leo hii unayatumia kujinufaisha akisha unasema kuwa mungu hayupo?

Ingekuwa Mungu hayupo, tena what is the purpose of life? Hivi wewe inaingia akili kuwa hapa dunia mtu anakudhulumu, anakuibiwa na kukutesa, unataka kunambia kuwa ukifa basi ndio hamna kitu kwako uldhulumiwa na kuteswa?

Unaweza kuelezea ulimwengu umewezaje kuwa in a perfect order kupitia coincidence?

Ikiwa Unaamini kuwa sisi tulikuwa vijidudu tu hapo mwanzo, hivo vijidudu vilianzaje kujitengeza kwenye mme na mke? vilijuaje kuwa vitahitaji mdomo kula na ass kunya? vilijuaje hivo whatever you call them kuwa vitahitaji miguu, kwanini viligeuka kuwa mtu na sio nyoka? au kwanini sote hatukuwa one animal ila tumetofautiana?

Kama hakuna Muumbaji kwanini basi hatuoni mtu akitokea nje ya njia za uzazi, kama vile umekaa maskani tu, out of nowhere unamuona mtu anaanza kuform?

Mungu ndio Mjuzi wa yote, yeye kama Muumbaji, basi yeye ndio mwenye kujua kila kitu, hakuna kilichojificha kwake. Mtu uwezo wake wa kufikiri au kuchambua mambo unakikomo, na before Bing Bang hawezi kujua chochote kile, lakini Mungu mjuzi wa yote ndio mwenye kujua.

Kiufupi;

- ANYTHING COMPLEX MUST HAVE A CREATOR. Ukipinga Hili basi thibitisha vipi hicho kitu complex kitakuwa hakina muumbaji and how it came to being.
Unaelewa kwamba ukiandika anuthing complex must have a creator, umekanusha uwepo wa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote?

Kwa nini hili suala la mantiki ndogo tu linakiwa gumu sana kwako kuelewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.

Shukrani kwa swali lako kuhusu ndoa ya Mut’ah ama kama ulivyo i declear kama vacation marriage
Hakika ni kuwa Waislamu wengi leo na wasio waislamu kwa sababu ya msukumo wa Kishia na kuendekeza matamanio yao ya kimwili, tumesukumwa kuikubali ndoa ya Mut’ah na kudanganywa kwa hoja kuwa ndoa hiyo haikukatazwa na Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) bali aliyeikataza kwa mujibu wa Mashia ni ‘Umar (Radhiya Allaahu ‘anhu) kwa ujanja wao wa kuchukua baadhi ya maneno na kuacha baadhi ya maneno katika Hadiyth; au kuchukua baadhi ya Hadiyth na kuacha zingine nyingi zenye kueleza kinyume. Na alisema kweli Imaam Ash-Shaafi’iy aliposema kuwa ‘Msichukue Hadiyth kutoka kwa Mashia, kwani sijaona watu waongo kuliko wote kama wao.” Minhaajus Sunnah An-nabawiyah.

Hakika hilo si kweli kwani ndoa hiyo imekatazwa na Allaah Aliyetukuka pamoja na Mtumewe (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) kabla ya kuaga dunia. Uhakika ni kuwa yapo mambo ambayo yalikatazwa mwanzo wakati wa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) kisha yakaruhusiwa. Mfano wa jambo hilo ni kuzuru makaburi ambalo lilikatazwa na Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) kisha likaruhusiwa.
Ama jambo lingine ni kule kukubaliwa kwa jambo fulani mwanzo kisha likaja likaharamishwa kabisa. Mfano huu ni ndoa ya Mut’ah ambayo ilikubaliwa kutegemea na ada za Kiarabu, kisha ikakatazwa baada ya Vita vya Khaybar na mara nyengine baada ya kufunguliwa Makkah.

Hebu tutazame baadhi ya dalili kuhusiana na hilo katika Qur-aan na Sunnah zilizo sahihi:

1. Allaah Aliyetukuka Anasema: “Lakini wanaotaka kinyume ya haya, basi hao ndio wanaoruka mipaka” (al-Ma’arij 70: 31). Na Aayah hiyo ikarudiwa tena katika Suratul Mu’minuun 23: 7. Wanavyuoni wa tafsiyr kama vile Shaykh Abu Bakr Jaabir al-Jazaa’iriy anasema kuwa Aayah hizi zinakataza ndoa hiyo ya Mut’ah.

2. ‘Aliy (Radhiya Allaahu ‘anhu) alitoka nje huku akimsikia mtu (Ibn ‘Abbaas) akitaja ndoa ya Mut’ah akamwambia: “Wewe ni mtu uliyesahau, hukumbuki kuwa Mtume amekataza ndoa ya Mut’ah na kula nyama ya punda zama za Khaybar” (Muslim).

3. Na Ibn ‘Abbaas (Radhiya Allaahu ‘anhuma) alisikiliza maelekezo ya kutoka kwa mtoto wa ‘ami yake (yaani ‘Aliy) kwa kuacha msimamo kuwa Mut’ah ni halali kama alivyosema Imaam al-Aluusiy katika tafsiri yake ya Ruuh al-Ma’aaniy: “Ni bora kulifutu jambo hili kwa kusema kuwa baada ya hapo (Ibn ‘Abbaas) aliyarudi maneno yake kulingana na mapokezi ya at-Tirmidhiy, al-Bayhaqiy na atw-Twabaraniy kuwa alisema (Ibn ‘Abbaas): ‘Kwa hakika Mut’ah ilikuwepo mwanzo wa Uislamu, alikuwa mtu huja katika kijiji ilihali hamjui mtu basi huoa kwa muda auonao kuwa atakaa hapo, akapata kuhifadhiwa haja zake na huyo mke na kusimamiwa maslahi yake yote (na huyo mke), mpaka ikateremka Aayah isemayo: ‘Isipokuwa kwa wake zao au kwa wanawake wale iliyowamiliki mikono yao ya kuume. Basi hao ndio wasiolaumiwa’ (Suratul Mu’minuun 23: 6), kwa hiyo kila tupu isiyo mojawapo ya tupu hizi mbili ni haramu” (Juzuu 5, uk. 6 na pia Tuhfatul Ahwadhiy Sherehe ya at-Tirmidhiy, Juzuu 4, uk. 269).

Kwa hiyo alilofanya ‘Umar (Radhiya Allaahu ‘anhu) wakati wake ni kuwakumbusha Maswahaba ambao wengine walikuwa kama Ibn ‘Abbaas (Radhiya Allaahu ‘anhuma) kuwa Mut’ah imeharamishwa kuanza hapo wakati wa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) kwa hiyo wakae mbali nayo. ‘Umar (Radhiya Allaahu ‘anhu) hakuzua lakejipya bali ni kuitwabikisha shari’ah iliyokuwepo.

Mastermind
 
Unaelewa kwamba ukiandika anuthing complex must have a creator, umekanusha uwepo wa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote?

Kwa nini hili suala la mantiki ndogo tu linakiwa gumu sana kwako kuelewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikisema anything complex must have a creator haiwezi kumaanisha kuwa Mungu hayupo hata siku moja. KWA SABABU MUNGU SIO ANYTHING WALA A THING WALA A CREATION! Ndipo unapofeli wewe hapo. Ikiwa hujui tofauti ya kiumbe na kisichoumbwa utajua mantiki yoyote?

Jipange upya! na ukija tena uje na dhana ya kuwa Mungu sio kiumbe.

Mengi umeyaepuka kwenye post kama kawaida yako, yote hio ni woga tu
 
Somalia umeenda mbali sana. Mbona haya mambo yanafanyika sana hapo Zanzibar na waarab kutoka Oman.
Wanapofika Zanzibar hupatiwa wasichana mabikra na kuwaoa kwa muda kwa matumizi ya NGONO. Muda wao unapoisha huondoka zao na kuacha watoto wa kike wakitaabika na familia zao.
Zanzibar kuna Mawakala kabisa wa kutayarisha hizo ndoa fake.
Natafuta mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali lako lina ushamba wa ufahamu.

Wewe ni kama kipofu ambaye ameshazoea kujua vitu kwa sauti. Anahadithiwa kuhusu rangi za bendera ya taifa ya Tanzania, anaambiwa ipo bluu, hajui bluu ni nini, anauliza " hiyo bluu mlio wake ukoje?". Kwa sababu katika ulimwengu wake finyu ambao vitu havitambuliki kwa rangi, vinatambulika kwa sauti, anaona kila kitu ni lazima kiwe na sauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu mjuzi wa yote na mwenye upendo wote yupo.

Asingekuwepo, ulimwengu usingekuwepo.

Haiwezekani, mtu awe alivyo kama hakuumbwa na Mungu, Haiwezekani kuwe hakuna Mungu akisha mtu kwa bahati mbaya ahitaji macho kuona, masikio kusikia, miguu kutembea, mikono kushika, ngozi kuhisi n.k, bila Mungu hivi vitu haviwezekani kuwepo.

Mungu anaupendo, na ndio maana akaweka guidelines watu wazifuate, kutozifuata haimaanishi kuwa Mungu hayupo, kuwepo kwa division Zero mashuleni haimaanishi kuwa hakuna elimu.

Uwepo wa kifo, ni ushahidi wa uwepo wa Mungu, kwa sababu katika Quran amesema kuwa yeye ndio wa milele, hivo mtu hawezi kuwa wa milele, LAZIMA AFE! kuwepo kwa matetemeko, nayo ni ushahidi wa uwepo, kwani bila ya hizi events, dunia isingetosha, ( FYI: Hata wanasayansi wanatambua kuwa hizi events ni essential for life cycle of the earth) uwepo wa mabaya nayo ni ushahidi wa uwepo wake, kwa sababu amesema kuwa Muovu ataadhibiwa na mwema atazawadiwa mazuri. Na pia hoja yako hii ni dhaifu, kama unaamini uwepo wa mazuri basi ndio uwepo wake, bila shaka mazuri yapo mengi duniani! 🙂

Fikra ya uwepo wa muumbaji ni fikra ambayo ni halisi na hikutungwa. Anything complex must have a creator, na kama hakuna creator, then nothing can exist. Ushahidi wa hili upo mbele ya macho yako, nikikwambia simu unayotumia haina mtengenezaji utanibishia, tena vipi ukatae ulimwengu uliopo perfect ukose muumbaji?

Tambua kuwa, Mungu amabe sio kiumbe, hafananishwi na Square root, wala pembe tatu, katika kuthibitisha uwepo wake, mifano yako hii marufu ni batil.

Mungu mwenye upendo wote - Mungu ambae anakupa hewa ya Oxygen uvute bure ili uishi, hospitali unalipia. Mungu amekujaalia wanyama na miti kwa ajili ya uwepo wa mtu, je huu sio upendo? Mungu anaeleta Neema duniani, Mvua, chuma na madini mengine ambayo leo hii unayatumia kujinufaisha akisha unasema kuwa mungu hayupo?

Ingekuwa Mungu hayupo, tena what is the purpose of life? Hivi wewe inaingia akili kuwa hapa dunia mtu anakudhulumu, anakuibiwa na kukutesa, unataka kunambia kuwa ukifa basi ndio hamna kitu kwako uldhulumiwa na kuteswa?

Unaweza kuelezea ulimwengu umewezaje kuwa in a perfect order kupitia coincidence?

Ikiwa Unaamini kuwa sisi tulikuwa vijidudu tu hapo mwanzo, hivo vijidudu vilianzaje kujitengeza kwenye mme na mke? vilijuaje kuwa vitahitaji mdomo kula na ass kunya? vilijuaje hivo whatever you call them kuwa vitahitaji miguu, kwanini viligeuka kuwa mtu na sio nyoka? au kwanini sote hatukuwa one animal ila tumetofautiana?

Kama hakuna Muumbaji kwanini basi hatuoni mtu akitokea nje ya njia za uzazi, kama vile umekaa maskani tu, out of nowhere unamuona mtu anaanza kuform?

Mungu ndio Mjuzi wa yote, yeye kama Muumbaji, basi yeye ndio mwenye kujua kila kitu, hakuna kilichojificha kwake. Mtu uwezo wake wa kufikiri au kuchambua mambo unakikomo, na before Bing Bang hawezi kujua chochote kile, lakini Mungu mjuzi wa yote ndio mwenye kujua.

Kiufupi;

- ANYTHING COMPLEX MUST HAVE A CREATOR. Ukipinga Hili basi thibitisha vipi hicho kitu complex kitakuwa hakina muumbaji and how it came to being.
Mzee baba unaelewa kuhusu evolution

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikisema anything complex must have a creator haiwezi kumaanisha kuwa Mungu hayupo hata siku moja. KWA SABABU MUNGU SIO ANYTHING WALA A THING WALA A CREATION! Ndipo unapofeli wewe hapo. Ikiwa hujui tofauti ya kiumbe na kisichoumbwa utajua mantiki yoyote?

Jipange upya! na ukija tena uje na dhana ya kuwa Mungu sio kiumbe.

Mengi umeyaepuka kwenye post kama kawaida yako, yote hio ni woga tu
Kwa kifupi jamaa hajui kutetea anachoamini ..Amekalili madesa ...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kifupi jamaa hajui kutetea anachoamini ..Amekalili madesa ...!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo lake, anafikiri Mungu ni kiumbe, ndio maana anakuja kufananisha uwepo wake na viumbe. Nimeomba kufundishwa Ulimwengu umetokeaje bila kuumbwa sijajibiwa hadi leo na yeye anaeamini kuwa hakuna muumbaji.

Anajaribu kulazimisha majibu ambayo hayapo.

Nawaelewa sana hawa wanaojiita Atheist, watakuja na Theory, yaani Theory kitu ambacho wanaamini haliyakuwa hawana uhakika nacho lakini hawawezi kuamini Muumbaji yupo.

Aje mwanasayansi, anithibitishe kuwa hatukuumbwa na ulimwengu haukuumbwa, kupitia practical experiment, sio anifanyie calculations ubaoni. wathibitishe kwa kufanya live experiment. Hawawezi!
 
Back
Top Bottom