Somalia kuna vocation marriage

Somalia kuna vocation marriage

Mimi Nilikuwa namzungumzia Mungu yupi?

Maskeen huna hoja... Nimekaa zaidi ya siku sita sikuwa na login humu, nilitegemea nkirudi ntakuta tayari ushajibu swali la wewe unawezaje kuja Ulimwenguni bila kuumbwa.... Ila hadi leo Umekuwa kipofu huoni 😀😀😀
Unaelewa hata kama mimi nikiwa siwezikujibu swali lako, kwaujinga wa kutokujua jibu, huo ni ushahidi kwamba Mungu muweza yote, mwenye ujuzi wote na upendo wote hayupo?

Unaelewa kwamba angekuwepo Mungu huyo, kungekuwa hamna swalilinaloweza kuulizwa ambalo mtu yeyote asingejua jibu lake?

Unaelewa hayo?
 
😀 😀 😀

Imeandikwa wapi kuwa kama huwezi kujibu ikiwa kwa ujinga au uwelewa kuwa ndio Mungu hayupo? 😀 unajaribu kuongea Non Sense sasa....

Kama Mungu asingekuwepo, basi maswali yote na ya aina yoyote yale yangeweza kujibika. Ila kwa vile Yupo, ndio maana tumekuwa na kikomo na masuali mengine yakawa hayajibiki hadi leo. Hivi Mungu ambae sio kiumbe kama wewe, unawezaje kumjadili alivo nje ya vile alivofundisha mwenyewe?

Tangu lini KIUMBE kimemzidi asieumbwa?

Hivi, kwa sababu Fulani hajui physics, maanake physics haipo?

Umechacha kiasi chote icho?

Kutojua yote ni ushahidi kuwa wewe ni kiumbe na umeumbwa na huwezi, wala hutoweza kuyajua yote ambayo Muumbaji wako anayajua ikiwa hajakuambia kwa sababu tumeumbwa.

Je unatambua kuwa lau kama ingekuwa hatujaumbwa, basi tungelijua kila kitu?
 
😀😀😀

Kama Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo, asingeruhusu viumbe wake kuwa na maswali wasiyoweza kuyajibu.

Unaelewa hilo?

Unaelewa hiyoni mantiki ndogo tu na huhitaji msahafu kuona hilo?

Unaelewa hilo?

Au kila kitu mpaka usome kwenye msahafu?
 
Mungu ni Mjuzi wa yote na mwenye uwezo na upendo wote, tena vipi aumbe kiumbe ambacho nacho ni mjuzi wa yote na mwenye uwezo wote na upendo wote kama yeye huku anatwambia kuwa hana mfano wala hakuna alie sawa na yeye wala kumzidi?

Unaelewa hilo?

Hio ni mantiki ndogo tu, haihitaji kusoma matabu ya kisayansi wala filsofi za fulani, ni very simple and clear kuwa, Kiumbe hakiwezi kuwa sawa au zaidi na asiekuwa kiumbe.

Au kila kitu sayansi ikwambie?
 
Unaelewa kwamba sijaandikalolote kuhusu Mungu kuumba kiumbe ambacho ni mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote?

Unaelewahilo?

Unajua kusoma?

Rudia kusoma nilichoandika halafu niambie wapi nimeandika hilo.

Nimeandika

Kama Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo, asingeruhusu viumbe wake kuwa na maswali wasiyoweza kuyajibu.

Unaelewa hilo?

Unaelewa hiyoni mantiki ndogo tu na huhitaji msahafu kuona hilo?

Unaelewa hilo?

Au kila kitu mpaka usome kwenye msahafu?

Unajua kusoma kwa ufahamu?

Unaelewa kwamba kuna tofauti kubwa kati ya nilichoandika mimi "asingeruhusu viumbe wake kuwa na maswali wasiyoweza kuyajibu" na ulichoandika kwamba nimeandika mimi habari za "tena vipi aumbe kiumbe ambacho nacho ni mjuzi wa yote na mwenye uwezo wote na upendo wote kama yeye" ?

Unaelewa kwamba una mapungufu ya kiuwezokatikakusoma na kujenga hoja ya kueleweka kutokana na ulichosoma?

Unaelewa nikiandika "asingeruhusu viumbe wake kuwa na maswali wasiyoweza kuyajibu" maana yake si aumbe kiumbe mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kama yeye?

Unaelewakwamba Mungu huyo angeweza kumfichia maswali yote ambayo mtu hatakuwa na majibu yake, na kumpa majibu ya maswali yote atakayoweza kujiuliza , na katika ulimwengu huo, huyo kiumbe hahitaji kuw amjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, anahitaji kuwa na majibu yote ya maswalianayoweza kujiuliza tu?

Unaona jinsi unavyokosa kusoma kwa kituo na ufahamu kunavyokufanya ufike katikahitimisho potifu?

Kama unashindwa kuelewa hili jambo la mantiki ndogo tu, nitawezaje kuwa na hakika nikiandika mambo ya mantiki kubwa utaelewa?
 
Unaelewa kwamba sijaandikalolote kuhusu Mungu kuumba kiumbe ambacho ni mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote?

Unaelewahilo?

Unajua kusoma?

Rudia kusoma nilichoandika halafu niambie wapi nimeandika hilo.

Je unaelewa kuwa ikiwa kiumbe kina uwezo wa kutambua kila kitu tutasema kuwa Mjuzi wa yote? Unatambua kuwa ikiwa Kiumbe hicho kina uwezo wa kila kitu bila limits tutasema Mwenye Uwezo wote? Ikiwa kiumbe hicho kina uwezo wa kupenda kupitiliza baada ya kila adha anayopata tutasema kuwa ana upendo wote?

Je sio wewe ambae unataka pasiwe na maswali na kwamba kila kitu kiumbe ajue?

Sio wewe ambae unataka Dunia ambayo ina upendo pekee bila kuwepo chuki na mengineyo?

Unaelewa kwamba kuna tofauti kubwa kati ya nilichoandika mimi "asingeruhusu viumbe wake kuwa na maswali wasiyoweza kuyajibu" na ulichoandika kwamba nimeandika mimi habari za "tena vipi aumbe kiumbe ambacho nacho ni mjuzi wa yote na mwenye uwezo wote na upendo wote kama yeye" ?
Nikuulize wewe, je unaelewa kuwa, ikiwa huyo kiumbe anaweza kujibu kila swali na kwa usahihi bila kubahatisha wala kuleta theory, huyo atakuwa mjuzi wa yote? Na Mungu na yeye amesema kuwa yeye ndio Mjuzi wa yote.

Unaelewa kwamba una mapungufu ya kiuwezokatikakusoma na kujenga hoja ya kueleweka kutokana na ulichosoma?

Unaelewa kwamba huwezi kujenga hoja, sio hivo tu, pia huwezi kutetea unachokiamini.

Unaelewa nikiandika "asingeruhusu viumbe wake kuwa na maswali wasiyoweza kuyajibu" maana yake si aumbe kiumbe mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kama yeye?
Ikiwa kiumbe anajua kila kitu na anaweza kujibu maswali yote, je huyo sio Mjuzi wa yote?

Unaelewakwamba Mungu huyo angeweza kumfichia maswali yote ambayo mtu hatakuwa na majibu yake, na kumpa majibu ya maswali yote atakayoweza kujiuliza , na katika ulimwengu huo, huyo kiumbe hahitaji kuw amjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, anahitaji kuwa na majibu yote ya maswalianayoweza kujiuliza tu?

Akifanya ivo, si utakuja kuuliza, kwanini amfichie hayo majibu aje ampe baadae na asimpe tu hapo?
Unaona jinsi unavyokosa kusoma kwa kituo na ufahamu kunavyokufanya ufike katikahitimisho potifu?

Najishkuru sana, huwa najaribu kusoma point by point, na kujibu kila tuhuma au point ambayo nimeekewa, ila mwenzangu, hakuna mahali ambapo umejibu kitu nlichokuuliza, kikubwa kazi yako ni kuzunguka tu.

Kama unashindwa kuelewa hili jambo la mantiki ndogo tu, nitawezaje kuwa na hakika nikiandika mambo ya mantiki kubwa utaelewa?

😀 😀 😀 Ikiwa unashindwa kuelezea mtu wa mwanzo, au watu wa mwanzo wamekujaje ulimwengu, au ulimwengu umekujaje wenyewe bila Muumbaji kwa muda wa zaidi ya mwezi ukiepuka kujibu, unafikiri what can you bring on the table to scare us?

umeshundwa kutofautisha kiumbe na asiekiumbe unaweza kutwambia nini?
 
Je unaelewa kuwa ikiwa kiumbe kina uwezo wa kutambua kila kitu tutasema kuwa Mjuzi wa yote? Unatambua kuwa ikiwa Kiumbe hicho kina uwezo wa kila kitu bila limits tutasema Mwenye Uwezo wote? Ikiwa kiumbe hicho kina uwezo wa kupenda kupitiliza baada ya kila adha anayopata tutasema kuwa ana upendo wote?

Je sio wewe ambae unataka pasiwe na maswali na kwamba kila kitu kiumbe ajue?

Sio wewe ambae unataka Dunia ambayo ina upendo pekee bila kuwepo chuki na mengineyo?

Nikuulize wewe, je unaelewa kuwa, ikiwa huyo kiumbe anaweza kujibu kila swali na kwa usahihi bila kubahatisha wala kuleta theory, huyo atakuwa mjuzi wa yote? Na Mungu na yeye amesema kuwa yeye ndio Mjuzi wa yote.

Unaelewa kwamba huwezi kujenga hoja, sio hivo tu, pia huwezi kutetea unachokiamini.

Ikiwa kiumbe anajua kila kitu na anaweza kujibu maswali yote, je huyo sio Mjuzi wa yote?

Akifanya ivo, si utakuja kuuliza, kwanini amfichie hayo majibu aje ampe baadae na asimpe tu hapo?

Najishkuru sana, huwa najaribu kusoma point by point, na kujibu kila tuhuma au point ambayo nimeekewa, ila mwenzangu, hakuna mahali ambapo umejibu kitu nlichokuuliza, kikubwa kazi yako ni kuzunguka tu.

😀😀😀 Ikiwa unashindwa kuelezea mtu wa mwanzo, au watu wa mwanzo wamekujaje ulimwengu, au ulimwengu umekujaje wenyewe bila Muumbaji kwa muda wa zaidi ya mwezi ukiepuka kujibu, unafikiri what can you bring on the table to scare us?

umeshundwa kutofautisha kiumbe na asiekiumbe unaweza kutwambia nini?

Ukianza kwakuandikahivi "Je unaelewa kuwa ikiwa kiumbe kina uwezo wa kutambua kila kitu tutasema kuwa Mjuzi wa yote? " nakosa nguvu ya kusoma zaidi.

Nani kasema lolote kuhusu kiumbe kuwa na uwezo wa kutambua kila kitu?

Hivi hiyopost ya mwisho niliyokuandikia umeisoma au unaendekeza utapiamlo wa mawazo tu?
 
Nani kasema lolote kuhusu kiumbe kuwa na uwezo wa kutambua kila kitu?
Jibu haya nlokuuliza basi; 😀

Je sio wewe ambae unataka pasiwe na maswali na kwamba kila kitu kiumbe ajue?

Sio wewe ambae unataka Dunia ambayo ina upendo pekee bila kuwepo chuki na mengineyo?
 
Jibu haya nlokuuliza basi; 😀

Je sio wewe ambae unataka pasiwe na maswali na kwamba kila kitu kiumbe ajue?

Sio wewe ambae unataka Dunia ambayo ina upendo pekee bila kuwepo chuki na mengineyo?
Nitakujibu vipi wakati unaleta kwenye mjadala hoja ambazo mimi sijazitaja kiasi kwamba nachelea hujui kusoma kwa ufahamu?

Nikikwambia thibitisha mlima Kilimanjaro upo chini ya bahari utanijibu vipi?
 
Wasomali wanaotoka Ulaya na Marekani wakienda likizo kwao huoa wasichana bikra na baada ya likizo huwatelekeza na kurudi kwa wake zao huko watokako.

Hii video ni about such kind of marriages in Eastleigh, Nairobi. Si somalia. Mwenye mada.
 
Nitakujibu vipi wakati unaleta kwenye mjadala hoja ambazo mimi sijazitaja kiasi kwamba nachelea hujui kusoma kwa ufahamu?

Nikikwambia thibitisha mlima Kilimanjaro upo chini ya bahari utanijibu vipi?
Kwaio sio wewe ambae ulitaka mtu ajue kila kitu na asiwe na maswali?

Mwanzo ulitaka uthibitisho wapi umesema kuwa Hakuna Allah, nikakuonesha ulipoandika na nkakuuliza ni Mungu yupi ninaemzungumza, hukuijibu tena 😀 kama kawaida ukawa unajizungusha
 
Hakuna nilipotaka mtu ajue kila kitu.

Tatizo wewe hujui kusoma kwa ufahamu.
 
Hakuna nilipotaka mtu ajue kila kitu.

Tatizo wewe hujui kusoma kwa ufahamu.
Tatizo lako wewe unakimbia unachokisema mwenyewe. Unaogopa nini kwani? Sio wewe ulosema kuwa kama mungu yupo kusingekuwa na maswali ambayo hatuwezi kujibu? au sio wewe? kama sio wewe hebu nambie ni kitu ulitaka mtu awe nacho ili ujue mungu yupo?
 
Unaweza kunipa nukuu yangu tuichambue hapa?

Nikufundishe kusoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa kama asijue kila kitu, si bado atakuwa na maswali ambayo hatoweza kuyajibu?
Unaelewa kwamba dhana ya Mungu kutompa mtu maswali asiyoweza kuyajibu huyo mtu haina uhusiano na dhana ya huyo mtu kujua kila kitu?

Unaelewa kwamba unachanganya haya mawili na kufanya kama ni kitu kimoja?

Unaelewa hilo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom