Sokoni Jamani.......Jamani sokoni!!!!......Hasa Sokoni Arushaaaaa!!!!.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sokoni Jamani.......Jamani sokoni!!!!......Hasa Sokoni Arushaaaaa!!!!..

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Gugwe, Aug 25, 2011.

 1. Gugwe

  Gugwe Senior Member

  #1
  Aug 25, 2011
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wana Jf naomba kuwasilisha,

  Kwa uchunguzi wangu wa muda sasa nimegundua kuwa sokoni hasa Arusha na kwingineko kuna wanawake wazuri sana tena wale wenye maumbo ya figa nane hasa zilizojaa kisawasawa. Na kwa nini najiuliza wengi wao wankuwa na figa hizo?

  Ambao ndio ugonjwa wnagu haswaaa! wallah, ukitaka mwanamke mchakarikaji na hot nenda kwa wafanyabiashara wa sokoni kokote Tanzania
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Aug 25, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 68,240
  Likes Received: 22,869
  Trophy Points: 280
  Hata pale Ukonga midizini wapo wakareeee
   
 3. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,083
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  mhhhh so hapa unatuambiaje sasa mkuu
  au tunafaidikaje na hii taarifa yako
   
 4. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  na wanaume wanapatikana wapi? :nono:
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  Aug 25, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,045
  Likes Received: 2,223
  Trophy Points: 280
  dukani mamito...
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,306
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Dah, hii ndo JF bwana! Haya chagua mmja unyanyuke nae. Kilio badae hatutaki!
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Aug 25, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 68,240
  Likes Received: 22,869
  Trophy Points: 280
  Duka gani? Abercrombie and Fitch?
   
 8. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #8
  Aug 25, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,045
  Likes Received: 2,223
  Trophy Points: 280
  Wherehouse stationery ..
   
 9. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #9
  Aug 25, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  hahaha,duh!wanawake wazuri sokoni!afu uzuri wa makalio!
   
 10. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #10
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,968
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Kazi ya sokoni .................nenda sokoni!!!!!!!!!

   
 11. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #11
  Aug 25, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  <br />
  <br />
  hujambo mpendwa?jiandae kumliwaza bdae lol
   
 12. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #12
  Aug 25, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  <br />
  <br />
  Chauro wanawake wamekuwa bidhaa!namsubiri aniambie kama na wanaume wanapatikana huko lol!
   
 13. bht

  bht JF-Expert Member

  #13
  Aug 25, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,226
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  soko gani arusha? kilombero, soko kuu, mbauda, soko mjingaa, tengeru, oldonyo, kerai, kisongo, sokoni one, engara emotonyi.....
   
 14. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #14
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,968
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Acha kabisa naona hili soko huria linawachanganya watu!

   
 15. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #15
  Aug 25, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,050
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  arushaa..kwa mrombooo,wachomaa nyamaa na buchaniii kwa wauzaa nyamaa,au mkaaa sinoniiii.yani full ma handsome
   
 16. Gugwe

  Gugwe Senior Member

  #16
  Aug 25, 2011
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Soko kuu mkuu, usiende tengeru, oldonyo, kisongo, engara emotonyi, mbauda utakutana na akina mama yeyoo na mitandio yao hawana dili, ukishindwa sana nenda kilombero......halafu mbaya zaidi hata akina mama/wanawake wanaokuja nunua vitu sokoni nao wanakuwa sio mbaya sana mashallah! sijui kwanini lakini...but why?!!
   
 17. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #17
  Aug 25, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,407
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Wambulu hao
   
 18. Gugwe

  Gugwe Senior Member

  #18
  Aug 25, 2011
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Etii eeh! lakini wako vizuri sana tu au we unasemaje?
   
 19. bht

  bht JF-Expert Member

  #19
  Aug 25, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,226
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  hahaaaa, lishe bora Gugwe(jina lako karibu vidole viteguke), heheeeee hayo masoko bana...daah yana wanawake wanajua kuzisaka noti....(kiongozi nahisi unawapenda wanawake wachakarikaji)

  weee wamama yeyoo achana nao, wanajua kuchakarika aisee....wakipita mitaa ya 'high' class utasikia wananadi biddhaa kwa kimombo

  ....timato, timatoo, timatoo
  ....binsi binsi binsiii yeyaaaaa
  ....bananaaa, bananaa, yeyaaaaa
  ....potetoo, potetooo,......
   
 20. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #20
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,475
  Likes Received: 3,356
  Trophy Points: 280
  Kweli...??
   
Loading...