Sokoni Jamani.......Jamani sokoni!!!!......Hasa Sokoni Arushaaaaa!!!!..

Sokoni Jamani.......Jamani sokoni!!!!......Hasa Sokoni Arushaaaaa!!!!..

Soko kuu mkuu, usiende tengeru, oldonyo, kisongo, engara emotonyi, mbauda utakutana na akina mama yeyoo na mitandio yao hawana dili, ukishindwa sana nenda kilombero......halafu mbaya zaidi hata akina mama/wanawake wanaokuja nunua vitu sokoni nao wanakuwa sio mbaya sana mashallah! sijui kwanini lakini...but why?!!
Ahahahahaaah! Lishe tu hiyo mkuu!
 
Bahati mbya natumia simu ningetoa like, kesho utaipata.
Sio siri mke mwema anapatikana sokoni.
 
Halfu pia watakuwa wanajua kupika sana, kwani wao si ndio wanatuchagulia vitu vya kutuuzia sokoni na ndio wanajua umuhimu wa sisi kununua hivyo vitu
 
Back
Top Bottom