Wakuu habari
SUA is an institution sio kiwanda wakuu, many discovery zinafanyika, wataalamu wengi hizalishwa lakini kwasababu nchi yetu ni kisiasa, tunabaki lalamika oh Mbona tunaagiza mbegu nje! Serikali kwanza ijenge imani na wahitimu na wataalamu then iwekeze nchini.. But I know my this is a political country every day when a leader stands speaks on CCM, CHADEMA and lying eti investment on industries.. Kikubwa vyuo vikuu nchini specifically SUA, I believe when chances are being granted I believe we can make a change.
Niwasilishe wakuu