Sokoine University Of Agriculture Special Thread

Sokoine University Of Agriculture Special Thread

[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha kujifanya TISS

Nyie vijana wa SUA bana

Hivi walimu wangu wa miaka ya 1990 kina Prof Mrema wapo?

Unaposema najifanya TISS unaelewa unachoongea?

I repeat, your fake ID doesn't guarantee your anonymity! Careful homie!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha kujifanya TISS

Nyie vijana wa SUA bana

Hivi walimu wangu wa miaka ya 1990 kina Prof Mrema wapo?
Yule Prof acha kabisa, ndo Mr UE, sasa

Sent from my MI 5s Plus using JamiiForums mobile app
 
a0ac45520851ea4cc14ddb68971a6f1f.jpg

Sent from my MI 5s Plus using JamiiForums mobile app
 
Yule Prof acha kabisa, ndo Mr UE, sasa

Sent from my MI 5s Plus using JamiiForums mobile app
Acha huyo mwenye kengeza

Mimi naongelea wa engineering aliondoka mwaka 1989 akaenda Botswana kipindi sisi tuko mwaka wa 3 , nilikuja hapo juzi nikamkuta amesharudi

Sent from baro Using Jamii Forum Mobile App
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukiwa mwaka wa tatu!! Nchi ngumu hii!!
 
Wataalam wa SUA....nina mdogo wangu ana ufaulu wa "D " mbili za biology na geography.... Naomba ushauri aombe kozi gani hapo SUA?

Nakaribisha ushauri na maoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wataalam wa SUA....nina mdogo wangu ana ufaulu wa "D " mbili za biology na geography.... Naomba ushauri aombe kozi gani hapo SUA?

Nakaribisha ushauri na maoni

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa sua karibia course zote zinahusu Geography na biology so we angalia TCU guidebook kwa upande wa Sua, soma vizuri course zote ukishauriana na muhusika anapenda ipi then mfanye maombi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pale UDSM kuna computer science, ambao hawa wapo Conas, na Computer engineering ambao hawa wapo Coet. Hapa unasemaje?

Pia hata IT wapo college tofauti na hizo lkn wote wanadili na mambo ya computer
Ndugu, unadanganya au unaongelea mwaka 2007 kurudi nyuma! Mimi nimegraduate udsm mwaka 2011 tukiwa katika College of Information and Communication Technologies (CoICT) ikiwa na idara za Computer Science and Engineering pamoja na Idara ya Electronics. So computer engineering ilishahama coet siku nyingi sana na computer science vilevile haipo conas kwa miaka zaidi ya 10 sasa

Sent from Moto G
 
Back
Top Bottom