Sokoine University Of Agriculture Special Thread

Bado nauliza hivii:

Ni kwanini SUA ni Chuo Kikubwa na cha heshima lakini Hatuoni mchango wake katika jamii ya watanzania?

Mbegu bora zoote zinazopandwa nchini kuanzia za nafaka, vegetables, matunda na hata insemination za breeds tofauti za wanyama zinatoka Kenya, South Africa, England na Netherlands.

Tatizo ni serikali haiwawezeshi hawa wanafunzi au?

SUA IMEWAHI KUWASAIDIA NINI WAKULIMA WA KITANZANIA?

Bado nauliza.
 
Ngoj waje wanasua
 
Wana SUA tunawasubiri tafadhali.
 
Mkuu Mbegu nyingi tu zinazalishwa na wataalam wa SUA, kuna Vituo vingi vya research wanazalisha mbegu na wataalam wake wanayoka SUA.
 
Mpaka sasa mmewasaidia nini wakulima au japo mkulima mmoja wa kitanzania?

Bado Nauliza hilo.
Mie Binafsi serikali imeshindwa kunisaidia. Hivyo sifikiri kama naweza kuwasaidia wananchi. Sidhani kama kuna wataalamu wa aina yoyote katika taifa hili ambao wamewasaidia watanzania kwa level ile ambayo wote tunatamani iwe. Tanzania haina mipango endelevu wala Uhuru wa taasisi...kila kitu ni siasa.
N:B. Wataalamu hatujashindwa ila mazingira ni magumu.
 
Wow! TeamIWRE [emoji122][emoji122][emoji122]
Yes mkuu!!

Sisi ndio tulikua wanafunzi wa mwisho wa prof mulengera! Baada ya kumaliza kutufundisha ndio aka staafu!!!

Mpanduji nadhani alichukuliwa na magufuli, msalimia baanda, ludovick, terengia, prof dihenga, kuna mwingine alikua anafundisha water supply na material technology nimemsahau jina...ni bonge la ticha!!!
 
Uyo anaitwa kahimba mkuu. Ni bonge la Ticha. # Team IWRE 2013- 2017
 
Huyo huyo...kuna kozi yake inaitwa environmental hydraulics, so far ndio kozi niliichukia sijui kwa nn asee hahahahaa!! Nadhani kwa sasa uko mwaka wa nne, engineering design! was my favourite course!! irrigation structures ya tarimo, ethics ya baanda daaaah!! NIKUTAKIE KILA HERI KWENYE UE Engineer!!!
 
Yes mkuu!!

Sisi ndio tulikua wanafunzi wa mwisho wa prof mulengera! Baada ya kumaliza kutufundisha ndio aka staafu!!!

Mpanduji nadhani alichukuliwa na magufuli, msalimia baanda, ludovick, terengia, prof dihenga, kuna mwingine alikua anafundisha water supply na material technology nimemsahau jina...ni bonge la ticha!!!
Big up kwa kumaliza tena sio kumaliza tu bali kumaliza Engineering degree programme SUA, sisi tupo bado till 2020 ngoja tuendelee kupambana na kina Baanda...
 
Back
Top Bottom