Sokoine University Of Agriculture Special Thread

Sokoine University Of Agriculture Special Thread

Kuna ndugu yangu kachaguliwa hapa lakini kaenda Udsm Education kisa ni chuo bora tanzania..maisha haya
 
Kwa wale wanaotarajia kuingia morogoro ama chuo SUA moja kwa moja, nipo hapa kuwapokea especially wale wanaokuja main campus. unatokea mkoa wowote ule na unataka kufika hapa kutokea stendi kuu.
 
Karibuni kwa yeyote yule anayeingia hapa morogoro wikiendi hii, kuepuka usumbufu nitatoa msaada na kukuongoza ama kuwa na wew mpaka karibu na maeneo ya chuo kama ni mgeni, kuepuka usumbufu wa kuanzia stendi kuu na masuala ya usafiri. Nipo hapa moro-SUA Usipate tabu, mwanafunzi mwenzangu.
 
Mkuu pale UDSM kuna computer science, ambao hawa wapo Conas, na Computer engineering ambao hawa wapo Coet. Hapa unasemaje?

Pia hata IT wapo college tofauti na hizo lkn wote wanadili na mambo ya computer

Mkuu UDSM hakuna kitu kama hicho,wote hao wapo college ya COICT
 
wale,,wa..SUA..third...round...tayari..wameshaachia...tembelea..website..ya..chuo
 
kwa aliyepata chumba mazimbu naomba tuwasiliane tushare cost tafazali 0754350882
 
wale mnaoijua SUA vizuri njoeni basi, mbona siwezi kuingia site ya SUA ili nifanye udahili wa Mwaka 2018/2019
 
Back
Top Bottom