Sokoine University Of Agriculture Special Thread

Sokoine University Of Agriculture Special Thread

Mm cjui shida nin 2mesha confirm ila bado hawatoi taarifa yoyote...?

Na mwisho leoo....x-(x-(
 
Safii sana ndio head of department wetu wa kwanza since 1984-1988

Sisi wa enzi hizo tunamkumbuka alikuwa kijana mwenye kufuga afro
We mkata baro acha kudanganya watu eti umemaliza 90s......Kaza mzee 2018 siyo mbali..una Ergonomics SEM 8 inakusubiri pamoja na Engineering ethics SEM 7 wewe..We sema alikuwa kijana wakati anakusubiri kwenye AE 420
 
Habari za muda huu wakuu......ninamsaidia mdogo wangu kufanya applications za vyuo ikiwemo SUA.

Kuna mahala wameandika kwamba natakiwa ku'upload cheti cha form 4(kipo) na cha form 6 (havijatoka bado).....

Msaada nifanyaje au ni'submit hivo hivo bila ku'upload cheti cha form 6

Natanguliza shukrani....Mbarikiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia RESULT SLIP.
itakuwa poa.
 
Karibuni sana SUA wakuu, kuhusu food science and technology, niulizeni chochote nitawajibu.
 
Msaada plz kwa course ya BTM ina faida gan na ugumu gan katika ajira na masomo yake kwa ujumla
 
We mkata baro acha kudanganya watu eti umemaliza 90s......Kaza mzee 2018 siyo mbali..una Ergonomics SEM 8 inakusubiri pamoja na Engineering ethics SEM 7 wewe..We sema alikuwa kijana wakati anakusubiri kwenye AE 420
Hahaha!! Mkuu naona umemuumbua kijana hapo
 
Back
Top Bottom