Sokoine University Of Agriculture Special Thread

[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha kujifanya TISS

Nyie vijana wa SUA bana

Hivi walimu wangu wa miaka ya 1990 kina Prof Mrema wapo?
Mrema nakumbuka alikuwaga FAO/Italy baada ya kustaafu 2011/12 anapiga contract basis pale DEST-Engineering.Nakumbuka wakati tunamaliza ndiyo tukaambiwa ndiyo Head wa Department wa kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wataalam wa SUA....nina mdogo wangu ana ufaulu wa "D " mbili za biology na geography.... Naomba ushauri aombe kozi gani hapo SUA?

Nakaribisha ushauri na maoni

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushindan sasa ni mkubwaa sana kwa hayo matokeo ajaribu tu kuomba lkn probability ya kukosa ni kubwaa

Sent From Ikulu-Magogoni street
 
Ndugu, unadanganya au unaongelea mwaka 2007 kurudi nyuma! Mimi nimegraduate udsm mwaka 2011 tukiwa katika College of Information and Communication Technologies (CoICT) ikiwa na idara za Computer Science and Engineering pamoja na Idara ya Electronics. So computer engineering ilishahama coet siku nyingi sana na computer science vilevile haipo conas kwa miaka zaidi ya 10 sasa

Sent from Moto G
Sawa mkuu

Lkn computer science, computer engineering, IT, informatics zinatofauti gani?
Mbina kazi nyingi za computer yeyote anapiga?

Sent From Ikulu-Magogoni street
 
Wakuu naomba ufafanuzi wa Course ya Bioprocessing &Post-Havesting Engineering kuwa inadeal na nini hasa pia na soko lake pindi unapomaliza.
Nitashkuru sana WANASUA.
 
Haina soko kiviile inadeal na usindikaji na uchakataji wa mazao,ila karibu upige japo siisomi.. mambo ya soko ni baadae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mrema nakumbuka alikuwaga FAO/Italy baada ya kustaafu 2011/12 anapiga contract basis pale DEST-Engineering.Nakumbuka wakati tunamaliza ndiyo tukaambiwa ndiyo Head wa Department wa kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Safii sana ndio head of department wetu wa kwanza since 1984-1988

Sisi wa enzi hizo tunamkumbuka alikuwa kijana mwenye kufuga afro
 
Mm pia nimepita hapo suA mazimbu campus kitaa dark cty
 
Wakuu
Nimeaply apo on line NA waniambia iko successful lkn sijampata email ya kunijuza Kama iko received
Au haitokagi hiyo email
Basi ntajuaje Kama my application iko received

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za muda huu wakuu......ninamsaidia mdogo wangu kufanya applications za vyuo ikiwemo SUA.

Kuna mahala wameandika kwamba natakiwa ku'upload cheti cha form 4(kipo) na cha form 6 (havijatoka bado).....

Msaada nifanyaje au ni'submit hivo hivo bila ku'upload cheti cha form 6

Natanguliza shukrani....Mbarikiwe

Ata TCU wanajua kuwa vyeti vya form six vya hawa waliomaliza havijatoka so usijali, ila hicho cha form four upload

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za muda huu wakuu......ninamsaidia mdogo wangu kufanya applications za vyuo ikiwemo SUA.

Kuna mahala wameandika kwamba natakiwa ku'upload cheti cha form 4(kipo) na cha form 6 (havijatoka bado).....

Msaada nifanyaje au ni'submit hivo hivo bila ku'upload cheti cha form 6

Natanguliza shukrani....Mbarikiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Changamoto hiyo hata mimi nimekutana nayo.Ukipata majibu tujulishane ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom