Sokoine University Of Agriculture Special Thread

mseme na matokeo yenu yaliyowapeleka SUA
 
Big up kwa kumaliza tena sio kumaliza tu bali kumaliza Engineering degree programme SUA, sisi tupo bado till 2020 ngoja tuendelee kupambana na kina Baanda...
Mzee wa umeme na programming!! daaah umeme wa mwaka wa kwanza ulnizingua japo nilitoka na ka-B plain ila wa mwaka wa tatu nikakaza uzi kwenye umeme nikatoka na A swafi kabisa hahahaa!!! long time aisee!!! tulikua tuna mtu anaitwa mpanduji mtaalam wa mechanics ila sasa ivi yuko sido huko!!!

Komaeni wakuu, hata sisi tulivyoanza tulikua tunaona kama miujiza flan hivi ila sasa tushamaliza!!!

najua sasa ivi mtakua mnakomaa na UE niwatakie kila heri!!

Engineering for life!!!

Pamoja sana mkuu!! One love!
 
Pamoja sana mkuu
 
Naona unajipitisha jipitisha kwa mashababi. We ulisoma chuo gani?.
nlisoma VETA forn four nlitoka na four nzuri ya 33 ba nnashukuru mungu nipo vizuri kwenye nutrition
 
Ukilaza ni kupata Division IV-33 which is close as to say you score 0.
Acha ushamba wa kutambiana course cha msingi ni mshaara,pesa ndiio kila kitu niwe sijasoma we umesoma ila kama nakuzidi mshaara uniambii chochote,namaliza hvyo wakuu
 
Mkuu Mbegu nyingi tu zinazalishwa na wataalam wa SUA, kuna Vituo vingi vya research wanazalisha mbegu na wataalam wake wanayoka SUA.
nizungumzie issue ya mifugo. Hapa nchini kuna taitizo la education arrogant kati ya animal science na veterinary. Hili ni jambo linaloturudsha nyuma sana kama Taifa na nina shindwa kuelewa ni kwanini wazee waliopo ndani ya taaluma hizi wameshindwa kuliweka sawa? Ni ukweli mtakatifu ila wengi si animal scientists wala madaktari wa mifugo watalikiri hili. Mfano duniani kote kozi za animal science na vets zinakuwa kwenye mwavuli mmoja kama Koleji, faculty au shule zinakuwa pamoja lakini Tanzania ni sawa na paka na panya. Alipo vet anahisi animal science hatakiwi kuwepo halikadhalika kwa alipo Animal science anaamini vet hatakiwi awepo. LAKINI UKWELI NI KWAMBA TAALUMA HIZI ZINATEGEMEANA SANA! na hili limechangia sana kuturudisha nyuma. Mfano wizara ya mifugo ikiwa na waziri vet/animal scientist inaonekana kama ni muda wa taaluma mojawapo ya kula nchi kwa kupewa favour huku taaluma nyingine ikibaki kijiweni. Hili tatizo linaumiza sana sekta ya mifugo hapa nchini. Mimi ni mchanga sana katika taaluma hizi lakini linaonekana wazi kabisa.
 
Mkuu pale UDSM kuna computer science, ambao hawa wapo Conas, na Computer engineering ambao hawa wapo Coet. Hapa unasemaje?

Pia hata IT wapo college tofauti na hizo lkn wote wanadili na mambo ya computer
 
nizungumzie issue ya mifugo. Hapa nchini kuna taitizo la education arrogant kati ya animal science na veterinary. Hili ni jambo linaloturudsha nyuma sana kama Taifa na nina shindwa kuelewa ni kwanini wazee waliopo ndani ya taaluma hizi wameshindwa kuliweka sawa? Ni ukweli mtakatifu ila wengi si animal scientists wala madaktari wa mifugo watalikiri hili. Mfano duniani kote kozi za animal science na vets zinakuwa kwenye mwavuli mmoja kama Koleji, faculty au shule zinakuwa pamoja lakini Tanzania ni sawa na paka na panya. Alipo vet anahisi animal science hatakiwi kuwepo halikadhalika kwa alipo Animal science anaamini vet hatakiwi awepo. LAKINI UKWELI NI KWAMBA TAALUMA HIZI ZINATEGEMEANA SANA! na hili limechangia sana kuturudisha nyuma. Mfano wizara ya mifugo ikiwa na waziri vet/animal scientist inaonekana kama ni muda wa taaluma mojawapo ya kula nchi kwa kupewa favour huku taaluma nyingine ikibaki kijiweni. Hili tatizo linaumiza sana sekta ya mifugo hapa nchini. Mimi ni mchanga sana katika taaluma hizi lakini linaonekana wazi kabisa.
Kwan mkuu wew umesoma ipi mati ya izo mbilii..!?
 
;-) nawaona nawaona, mnakumbuka Francis wa mambo ya maiki?
 
Back
Top Bottom