Abedinegor
New Member
- Aug 4, 2018
- 1
- 1
Sawa mkuu nimekuelewa vuzuri sana.
Shwari!?Trading platform.
Asante kwa elimu. Ni muda tangu ni post hii na nimejifunza mengi sana kwenye masoko ya nje Na nilichogundua experience ndio inasaidia.Ukitaka kununua angalia volume, volume ni inakuambia hizo hisa zinakuwa demanded kiasi gani,
High volume inamaanisha watu sokoni wanazinunua sana hivyo possibility ya kupanda bei ni kubwa,
Low volume inamaanisha hazinunuliwi sana, na zinaweza shuka bei soon
Pia volume ikiwa kubwa inamaanisha liquidity ya hisa hizo ni kubwa ambapo inakupa urahisi wa kuuza na kununua muda wowote
High volume pia inamaanisha bei yake haibadiliki ghafla ila steadily hii inakupunguzia shock.
mkuu naomba unisaidie naweza kuuzaje hisa za voda, nataka kupunguza MiaVodacom wako radhi kujifanya wanatoa misaada kila siku,angalia bolg ya michuzi.
ukiangali a shareholders wao,kama VODACOM group(65%) na Mirambo(35%),kama mtanzania wa kawaida anatakiwa ajue ni nani hawa,kiasi gani cha tax kimelipwa etc.
Je ni nani ana audit hawa,kiasi gani waremit kweny parent company etc,ambayo haya
lazima yawe kwenye published acmmunication katika nchi yoyote ni muhimu sana maana ni chanzo kikubwa
cha income.I guess VODACOM ni kampuni ya kigeni,kwa nini isiwe na dual listing?
Hawa akina Mirambo ni nani?
Nchi za Ulaya/Marekani zimeweza kuendelea kwa sababu la soko la mitaji.
mkuu naomba unisaidie naweza kuuzaje hisa za voda, nataka kupunguza Mia
Mkuu unajuana na wanunuzi niniUnaziuza kwa bei gani?
Mkuu unajuana na wanunuzi nini
Kwangu mm nafahamu forex unaweza ñicheki nikupe mwanga kidogo +255758022953Samahan kwa aneyajua forex na stock trading msaada
Daah hapo n ktengo Muhimu Kaka na me pia napenda kupata Ufaham kuhusu hiloJaman Naombeni elimu juu Na hamna Ya kumiliki hisa Za kampuni yoyote na kuwa moja Ya share holder Wa kampuni
Elekea www.coresurities.co.tz kuna downloadable 3 juu ya hisa, hatifungani, na mifumo ya uwekezaji wa pamoja - equities, bonds, CIS.Jaman Naombeni elimu juu Na hamna Ya kumiliki hisa Za kampuni yoyote na kuwa moja Ya share holder Wa kampuni
Naomba ufahamu juu ya equity bond na CISElekea www.coresurities.co.tz kuna downloadable 3 juu ya hisa, hatifungani, na mifumo ya uwekezaji wa pamoja - equities, bonds, CIS.
Habari zenu wadau.
Na Mimi nimewaza kutokana na ugumu wa biashara nchini mwetu nikaona ni bora nianze kuwekeza kwenye hisa.
Vipi mwaka huu soko la hisa limekaa vipi?
Kwa yeyote mwenye uelewa.
Ahsante.
Aende akaonyeshe hiyo depository receipt kwa broker aliponunua hisa pamoja na ID card yake atapewa maelekezo yote akitaka kuuza.Kuna mzee hapa anasema mwaka 2015 alinunua 100 shares za DSE. sasa nipo naye hapa hajui afanyaje na hakumbuki maelekezo yoyote ila depository receipt anayo