Mabilionea wakubwa ulimwenguni huanzisha kampuni anaikuza ikiwa kubwa na inafanya vizuri anaisajili soko la hisa na mitaji anauza mfano nusu yeye anabaki na nusu na kuwa main shareholder wa kampuni. Hii husaidia kampuni kupata mtaji mkubwa na kukua hadi kuwa kampuni kubwa ya kimataifa kama ilivyo Dangote cement.
Dangote cement ni kampuni ya wanigeria wengi walionunua hisa soko la hisa Nigeria ila Dangote ndio mwenye hisa nyingi watanzania tuige.
Matajiri wote wakubwa duniani wakiwemo akina Billy Gates ndio wanalivyofanya. Wao sio wamiliki pekee wa kampuni zao wao ni main shareholders.
Inanimate unakuta kampuni kubwa ya mswahili inakufa tu kienyeji kaikomalia yeye peke yake binafsi hadi inamfia mkononi. Wakati angeuza soko la hisa ikiwa vizuri lingeweza kuendelea na kupanuka hadi kimataifa. Roho wa kutaka faida yote ale mwenyewe pia unachangia ubahili wa kutopeleka kampuni iuze share sokoni.