Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa


A

alimunyu semdekah

Member
Joined
Dec 11, 2017
Messages
65
Likes
75
Points
25
A

alimunyu semdekah

Member
Joined Dec 11, 2017
65 75 25
Mimi ni Mhanga wa HISA. nilinunua Hisa 100 toka mwaka 1999 kutoka TOL hadi leo sijasikia faida wala kuulizwa, na nimeingia mkenge mwengine nimenunua HISA Vodacom hadi leo hii sijasikia lolote, hivi inakuaje kuaje? mimi sasa nipo Maswa na Shinyanga baada ya kustaafu
 
babu M

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Messages
4,160
Likes
1,166
Points
280
babu M

babu M

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2010
4,160 1,166 280
Ukitaka kununua angalia volume, volume ni inakuambia hizo hisa zinakuwa demanded kiasi gani,
High volume inamaanisha watu sokoni wanazinunua sana hivyo possibility ya kupanda bei ni kubwa,
Low volume inamaanisha hazinunuliwi sana, na zinaweza shuka bei soon
Pia volume ikiwa kubwa inamaanisha liquidity ya hisa hizo ni kubwa ambapo inakupa urahisi wa kuuza na kununua muda wowote

High volume pia inamaanisha bei yake haibadiliki ghafla ila steadily hii inakupunguzia shock.
Asante kwa elimu. Ni muda tangu ni post hii na nimejifunza mengi sana kwenye masoko ya nje Na nilichogundua experience ndio inasaidia.
 
Gachuma jr

Gachuma jr

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2018
Messages
284
Likes
167
Points
60
Gachuma jr

Gachuma jr

JF-Expert Member
Joined May 20, 2018
284 167 60
Mkuu nataka kuuza Hisa zangu TCC naomba contact za madalali
 
M

Mwakidangote

New Member
Joined
Nov 19, 2018
Messages
1
Likes
0
Points
3
M

Mwakidangote

New Member
Joined Nov 19, 2018
1 0 3
Vodacom wako radhi kujifanya wanatoa misaada kila siku,angalia bolg ya michuzi.
ukiangali a shareholders wao,kama VODACOM group(65%) na Mirambo(35%),kama mtanzania wa kawaida anatakiwa ajue ni nani hawa,kiasi gani cha tax kimelipwa etc.
Je ni nani ana audit hawa,kiasi gani waremit kweny parent company etc,ambayo haya
lazima yawe kwenye published acmmunication katika nchi yoyote ni muhimu sana maana ni chanzo kikubwa
cha income.I guess VODACOM ni kampuni ya kigeni,kwa nini isiwe na dual listing?

Hawa akina Mirambo ni nani?

Nchi za Ulaya/Marekani zimeweza kuendelea kwa sababu la soko la mitaji.
mkuu naomba unisaidie naweza kuuzaje hisa za voda, nataka kupunguza Mia
 

Forum statistics

Threads 1,263,514
Members 485,918
Posts 30,154,715