Kampuni ya Precision imenifanya nione kuwekeza kwenye hisa ni kupeana presha tu maana tangu tununue hisa zake hakuna kilichopatikana kwa wanahisa! bei ya hisa iko vile vile toka Novemba 2011.
Anyway kila mtu anavutia upande wake hata akiona unamuelemea ila si vizuri hasara yako kuwaunganishia na wengine.
Anyway kila mtu anavutia upande wake hata akiona unamuelemea ila si vizuri hasara yako kuwaunganishia na wengine.