kwa hiyo hela mkuu nunua hisa za swissport kwa tsh 7510 au twiga cement kwa tsh 3820. kampuni yoyote ile ukiichagua kati ya hizo mbili hautojilaumu. kampuni ya bia au sigara hisa moja ni tsh ekfu 14 na kuendelea na kwa hela yako utapata hisa chache sana mkuu
asante mkuu